Nikifika huo umri nitakuwa naitwa babu wajukuu kutoka kwa mtoto wangu wa kwanza na wa pili.Mbilinyi amezaliwa 1 Mei, 1972
2019-1972=47
Bibi harusi yuko wapi? Au ni mmojawapo kati ya hao kulia na kushoto kwake?Mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi amefunga ndoa leo na mpenzi wake Happiness Msonga.
Ndoa hiyo imefungwa katika Kanisa la Roho Mtakatifu, Parokia ya Ruanda jijini Mbeya. (Pichani mbunge huyo akiwa na marafiki zake akiwepo ProfessorJay.
View attachment 1194230
Dogo si nilikushauri kukaa kimya pindi watu wazima wakiwa wanazungumza !Anatekeleza mambo ya msingi kabla ya kuachia Jimbo 2020
24Samahani mkuu kuna mtu hapa tunabishana nae, yeye ana miaka 44 anasema sugu ni Mdogo wake, samahani unaweza kuniambia miaka ya Mh. Sugu
Nadhani ni kubariki Ndoa,siyo kufunga Ndoa,kwa uelewa wangu make na mume waliozaa hawafungi NdoaMbunge wa Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi amefunga ndoa leo na mpenzi wake Happiness Msonga.
Ndoa hiyo imefungwa katika Kanisa la Roho Mtakatifu, Parokia ya Ruanda jijini Mbeya. (Pichani mbunge huyo akiwa na marafiki zake akiwepo ProfessorJay.
View attachment 1194230
Anajiumauma tu huko
Kumbeee!!Nilijua kafunga bomani, maana huyo mke wake ni mtalaka ana ndoa ya kanisani
Anajiumauma tu huko