Wanamuita Sugu!
Nani?
Wanamuita Sugu!
Sugu! Sugu! Sugu!
Mbilinyi amezaliwa 1 Mei, 1972Samahani mkuu kuna mtu hapa tunabishana nae, yeye ana miaka 44 anasema sugu ni Mdogo wake, samahani unaweza kuniambia miaka ya Mh. Sugu
Mbilinyi amezaliwa 1 Mei, 1972
2019-1972=47
[emoji3][emoji3]Huyo Hapiness ndiyo kasimama upande gani hapo?
Pamoja sana. Baraka zimfikie Rais wa Mbeya, Sugu.Nashukuru sana Mkuu, tupo hapa tunapiga soga za harakati za mzee baba, Mungu amjalie maisha marefu yeye na familia yake