Joseph Mbilinyi (Mbunge) a.k.a Sugu afunga ndoa rasmi.

Joseph Mbilinyi (Mbunge) a.k.a Sugu afunga ndoa rasmi.

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
5,197
Reaction score
19,463
Mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi amefunga ndoa leo na mpenzi wake Happiness Msonga.

Ndoa hiyo imefungwa katika Kanisa la Roho Mtakatifu, Parokia ya Ruanda jijini Mbeya. (Pichani mbunge huyo akiwa na marafiki zake akiwepo ProfessorJay.

IMG_20190831_143401.jpeg
 
Kila la kheri Sugu. Ila huo mkusanyiko nina wasiwasi nao maana Intelijensia inaonyesha kutakuwa na uvunjifu wa amani hapo kanisani na ukumbini. Hivyo tunaomba kuzuia Sherehe ya hiyo harusi.
 
Back
Top Bottom