Huyo Mchaga atakuwa kasoma St. Kayumba, mkiambiwa MoU hazisaidii kusomesha watu, mnakataa, matokeo ndio hayo.
Huyo Mchaga atakuwa kasoma St. Kayumba, mkiambiwa MoU hazisaidii kusomesha watu, mnakataa, matokeo ndio hayo.
ndugu yangu zoba utaacha lini udini au kutuma post zisizo na harufu ya udini udini mpaka lini?
sasa badala ya kuwakomalia walioko madarakani mnataka kuwabana walio nje ya madaraka. Sasa imagine kuwa Mbilinyi kasema na kakemea then what? Utakuwa umeridhika na kujisikia vizuri!
Nadhani tatizo si kukemea au kutokumea bali kuwa na serikali iliyoko madarakani ikiundwa na watu wasio na maadili. Siku hizi Tanzania imekuwa dampo la kila uchafu hasa miigizo. Tuna vituo vya TV vyenye kutoa huduma chafu kwa wateja. Tuna vipindi vya kisagaji kama Mikasi na utitiri wa magazeti ya udaku. Kenya hawana magazeti ya udaku, matangazo machafu wala vipindi vya hovyo kama Tzania. Nadhani tatizo ni jamii ya kitanzania kupenda vitu vya hovyo na kuchukia vitu muhimu. Iwapo rais mwenyewe hana maadili hadi kuwaambiwa wanafunzi wanaopata mimba eti ni kutokana na kiherehere chake huku wabunge wake wengi wakiwa wavuta bangi na walevi unategemea nini? Hili si tatizo la upinzani bali CCM.
Ingekuwa ajabu sana kama ungechangia mjadala huu bila kuitaja MoU (sijui kwa nini waisilamu wengi wakisikia MoU wanajua ni makubaliano ya kanisa na serikali, hawajui kama mbali ya kanisa na serikali, kuna MoU nyingine nyingi tu!). Kwa kuwa MoU si mjadala hapa, turudi kwenye barua ya sensa!Huyo Mchaga atakuwa kasoma St. Kayumba, mkiambiwa MoU hazisaidii kusomesha watu, mnakataa, matokeo ndio hayo.
Zanzibar Huru,
Hivi hapa Mh. Sugu anahusika vipi??? Au ......... mi sielewi, nieleweshe kidogo.
nani anabisha kuwa hiyo sio product ya morogoro m university?
waliopo ndani ni viziwi
huyu yuko nje alitakiwa apiganie na ikibidi apewe taarifa na a go public na maelezo toka kwa jamaa wa wizara ya sheria na TAMISEMI lakini wapi
kilichobaki ni kuja kusemea humu labda atasoma asubuhi hiii
Aliyeandika hilo tangazo ni Mushi halafu Zanzibar huru anasema "Joseph Mbilinyi anavochemka".Zanzibar huru ndiyo unayechemka na kukurupuka bila sababu.Umemwonea Sugu