PreGE2025 Joseph Mbilinyi aka Sugu kuongea na taifa 20 March, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwamba Sugu ameita Waandishi ili kumpinga Lissu, si kweli, Kingine ni hiki, Pamoja na Lissu kumchafua Sugu kwa kila namna, Sugu hajawahi kumjibu Lissu hata neno moja.
Wewe na sugu mlikuwa walamba nyao za Mangi!! Sugu hana maana yoyote zaidi ya kutembelea upepo wa wapigania chama .... Ni bora ukawa na akina Halima mdee wenye uwezo wa kihoja kuliko kuwa na sugu.
 
huenda ndio anamjibu kesho 🐒
 
Wewe na sugu mlikuwa walamba nyao za Mangi!! Sugu hana maana yoyote zaidi ya kutembelea upepo wa wapigania chama .... Ni bora ukawa na akina Halima mdee wenye uwezo wa kihoja kuliko kuwa na sugu.
Hakuna tajiri anayeweza kulamba nyayo za mtu, fanya Utafiti
 
Baada ya ziara ya kikazi iliyojaa Mafanikio Nchini Marekani, Mwenyekiti huyo wa Kanda ya Nyasa, Mwekezaji wa Kimataifa na Mfanyabiashara, Bilionea Joseph Mbilinyi, Atahutubia Taifa kupitia Waandishi wa habari kwenye ofisi za Kanda Jijini Mbeya

Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa Duniani kote hii hapa

View attachment 3276574
Dah😂😂😂😂😂😂
 
Too much jamani..wapi Lisu kamchafua Sugu?
kumbe kuna mambo mnaziba masikio siyo? unaposema Sugu alimshinda Msigwa kwa Rushwa bila ushahidi hiyo ni nini? Kumbuka wakati unasema hayo huyo Msigwa kishahamia ccm na kutukana Chadema, huku Sugu ukiwa naye Chadema,

Jambo kama hili mnataka tulinyamazie ili iweje na kwa manufaa ya nani?

Tujifunze kuheshimiana, hii ndio inaitwa Stronger together
 
Aisee hata mimi hii ilinikwaza sana TL sometimes huwa anatoa maboko sana, tatizo la TL anapenda sana sifa, Aya sasa nasikia msigwa anarud najiuliza sijui itakuwaje?? , binafs baada ya kumteuwa mshikaji wake kuwa mwanasheria wa chama na kuwaachq kina kibatala na wengine ambao wamepambania chama, teuz za TL hazina Afya kwa chama
kumbe kuna mambo mnaziba masikio siyo? unaposema Sugu alimshinda Msigwa kwa Rushwa bila ushahidi hiyo ni nini? Kumbuka wakati unasema hayo huyo Msigwa kishahamia ccm na kutukana Chadema, huku Sugu ukiwa naye Chadema,

Jambo kama hili mnataka tulinyamazie ili iweje na kwa manufaa ya nani?

Tujifunze kuheshimiana, hii ndio inaitwa Stronger together
 
Tulia we muumini wa wauza unga. Matusi hayakutoi maana mchezo umeisha na kashindwa kihalali. Muambie mumeo hakuna kuzira baada ya kupigwa. Atembee na kauli mbiu ya chawa wake kuwa, ukishindwa hakuna kuhama chama ama kuzira.
Mna utoto sana! Tutaona mwisho wake!
 
Mkuu sitaki kubishana na wewe kwa sababu zinazofahamika na kwa manufaa ya Chadema, ni kweli kwamba tusiwe kama ccm lakini pia viongozi tujifunze kuheshimiana, unapomshambulia kiongozi wa Kanda ni dhahiri unakuwa unataka kuvuruga Chama, na inaweza kukuwiia vigumu sana kufanya naye kazi.
Yote yalishapita ingawa kweli uchaguzi wa kanda ya Nyasa ulikuwa moja ya chaguzi za hovyo. Tulishasema tuponye makovu full stop. Hata huyo Rose Mayemba alishatadutiwa nafasi nyingine.
 
20250315_005241.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom