Msaka tonge
Member
- Apr 2, 2013
- 78
- 13
Kwanza nadeclare interest me ni CHADEMA.
Huyu mkuu huwa hachangii chochote akiwa bungeni, labda ishu ihusu bongo fleva au Ruge.
Ameshindwa hata na Maji marefu ambaye huuliza maswali ya nyongeza na ya msingi kuhusu wapiga kura wake.
Ivi Mbeya mjini hamna matatizo ya maji, barabara , shule na clinic kweli?
Anadhani alichaguliwa kwa ajili ya kuongelea hati miliki za wasanii?
acha umbulula wewe sisi huku kwetu ndo rais wetu,twambie wewe mbunge wako nani ili tumfananine na yeye,saizi sisi machinga tunafanya kazi kwa raha sana.wewe ingia kwenye web ya bunge angalia profile ya sugu usiwe mvivu wa kutafuta habari na kupost upuuzi.kwanza nadeclare interest me ni chadema.
Huyu mkuu huwa hachangii chochote akiwa bungeni, labda ishu ihusu bongo fleva au ruge.
Ameshindwa hata na maji marefu ambaye huuliza maswali ya nyongeza na ya msingi kuhusu wapiga kura wake.
Ivi mbeya mjini hamna matatizo ya maji, barabara , shule na clinic kweli?
Anadhani alichaguliwa kwa ajili ya kuongelea hati miliki za wasanii?
Kwani Form four wanashida gani?...... je; unafahamu kwamba GREAT THINKERS WA ZAMANI HAWAKUSOMA SANA?
BAna sometimes think in capital lettiters
Waso0mi wengi wanaojiita wasomi na kudharau wasiosoma kama wao wengi maisha yao hovyo tu.
Bill gates kilaza lakini kaajiri wasomi lukuki
MIMI CCM LAKINI SIJAPENDA WATU WANAVYOMNANGA SUGU KWA SABABU SIO MSOMI
Mbona hata ccm tuna wabunge wengi tu wasioenda shule? hebu niwaulize mnamfgahamu ALLY KESSY wa nkansi?
Mimi namfahamu na najua mzee hata la saba hakufika ila ana kipaji cha hali ya juu kwenye biashara
wala sijifariji mkuu hivi wewe wajua mm nafanya kazi atika mazingira gani??nakumbuka mwl wangu wa grammar alinifundisha moja ya matumizi ya conditional sentences ni kujifariji..ok yaishe tusije wafaidisha watu
we j-i-nga ujui sugu ni waziri kivuri wa sector hiyo?Kwanza nadeclare interest me ni CHADEMA.
Huyu mkuu huwa hachangii chochote akiwa bungeni, labda ishu ihusu bongo fleva au Ruge.
Ameshindwa hata na Maji marefu ambaye huuliza maswali ya nyongeza na ya msingi kuhusu wapiga kura wake.
Ivi Mbeya mjini hamna matatizo ya maji, barabara , shule na clinic kweli?
Anadhani alichaguliwa kwa ajili ya kuongelea hati miliki za wasanii?
Kwanza nadeclare interest me ni CHADEMA.
Huyu mkuu huwa hachangii chochote akiwa bungeni, labda ishu ihusu bongo fleva au Ruge.
Ameshindwa hata na Maji marefu ambaye huuliza maswali ya nyongeza na ya msingi kuhusu wapiga kura wake.
Ivi Mbeya mjini hamna matatizo ya maji, barabara , shule na clinic kweli?
Anadhani alichaguliwa kwa ajili ya kuongelea hati miliki za wasanii?
Mbuzi wewe nenda kajipange unatoa hoja dhaifu kutarajia ujibiwe mambo mazito majibu yako ni mepesi tu. moja inaonyesha wewe sio mkazi wa jimbo la mby mjini, pili umetumwa, tatu unataka kutoka kupitia Sugu, Tatu kawambie walio kutuma wajipange kuhusu Sugu mana hata muweke nini leo Sugu anakubalika mby mjini CCM go to hellKwanza nadeclare interest me ni CHADEMA.
Huyu mkuu huwa hachangii chochote akiwa bungeni, labda ishu ihusu bongo fleva au Ruge.
Ameshindwa hata na Maji marefu ambaye huuliza maswali ya nyongeza na ya msingi kuhusu wapiga kura wake.
Ivi Mbeya mjini hamna matatizo ya maji, barabara , shule na clinic kweli?
Anadhani alichaguliwa kwa ajili ya kuongelea hati miliki za wasanii?
wala sijifariji mkuu hivi wewe wajua mm nafanya kazi atika mazingira gani??
FYI katika watu ambao ni so prosperous naweza kuwa mmoja wao kiuchumi na ki kila kitu na najua nikipatacho chanitosha kuish bila mawazo hata kama nitalala kitandani kwa ugonjwa na kamwe siwez kuudharau ualimu manake ndio ulionifikisha hapa nilipo leo hii. matumbo nachukia komenti kama zako ambazo zinadhalilisha fani ya ualimu kitu ambacho sio kweli. mwl kutokana na elimu yako waweza kuwa na mafanikio makubwa sana tena kuliko hata huyo unayedhan ni mbunge ama la. nilipo mm sasa hivi kwa fani yangu, kila mwaka nabadilishiwa office funiture na serikali, na kila mwezi nasafishiwa kiyoyonzi kisinipe mafua lkn ni mwl.