KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,292
You can't expect more from him. He's Form 4 leaver.

Kwanza nadeclare interest me ni CHADEMA.
Huyu mkuu huwa hachangii chochote akiwa bungeni, labda ishu ihusu bongo fleva au Ruge.
Ameshindwa hata na Maji marefu ambaye huuliza maswali ya nyongeza na ya msingi kuhusu wapiga kura wake.
Ivi Mbeya mjini hamna matatizo ya maji, barabara , shule na clinic kweli?
Anadhani alichaguliwa kwa ajili ya kuongelea hati miliki za wasanii?

unalako jambo au na wewe ni redio ya wafu, siyo mpenzi wa kufatilia bunge lakini niliwahi kumsikia sugu akishupalia swala la hospital ya mbeya kwa rushwa na jenereta kuwashwa wanapoenda wakubwa kutibiwa..ukumbuke bongo flava inamhusu yeye kwasababu kuu 2, yeye ni waziri kivuri,yeye ni mwana bongo flava
You can't expect more from him. He's Form 4 leaver.
unalako jambo au na wewe ni redio ya wafu, siyo mpenzi wa kufatilia bunge lakini niliwahi kumsikia sugu akishupalia swala la hospital ya mbeya kwa rushwa na jenereta kuwashwa wanapoenda wakubwa kutibiwa..ukumbuke bongo flava inamhusu yeye kwasababu kuu 2, yeye ni waziri kivuri,yeye ni mwana bongo flava
You can't expect more from him. He's Form 4 leaver.
Mkuu huyu alishaji udentify kuwa ni jambazi....... Hana muda wa kufuatilia bunge zaidi ya kuwaza ujambazi. ujue amemfuatilia maji marefu kwasababu huwa anampa dawa za kufanya ujambazi.
Maji marefu ni mbunge wako? Akili zenu zinafanana. Unatamani angekuwa babakoMbona Maji Marefu anawaliliaga wapiga kura? Juzi tu katoa misaada ya zaidi ya m45 kwa ajili ya shule na hospitali kutoka kwa wafadhili wake.
Sugu hana uwezo wowote katika masuala ya kisiasa.
You can't expect more from him. He's Form 4 leaver.
Maji marefu ni mbunge wako? Akili zenu zinafanana. Unatamani angekuwa babako