Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,227
- 1,389
Watu walisema hapa jf bangi sio mchicha,IMANI ya kurithi ukubwa ni uchizi tu,hata wakristo ukiona anahama kanisa hili kwenda lile liko tatizo kwake,OMBA YESU AKUBEBE SIO KANISA
Nampongeza Jose kwa ujasiri na kurudia dini yake anayoipenda,napongeza uamuzi wake wa kuhama dini na sasa kurudi akiwa kama mwanadamu mtafuta tumaini la milele hana budi kuhama hama dini.Pia napongeza na uamuzi wa familia yake kwa kumshinikiza kurudia dini yake ya zamani na napongeza pia uamuzi wa Jose kukubaliana na shinikizo la familia yake.Poor him.
Ndiyo shida ya IMANI za kurithi!..Mtu anakuwa hana uthabiti na anachokiamini!
Hapa alimaanisha nini kuhusu islam?... but to his surprise, his decision now makes him feels like he had committed the biggest crime...
[video=youtube_share;TDW4dOSCxhg]http://youtu.be/TDW4dOSCxhg[/video]
Poor him.
Ndiyo shida ya IMANI za kurithi!..Mtu anakuwa hana uthabiti na anachokiamini!
Kweli kabisa aisee. Unakuta dini imeanzia sijui wapi huku na sisi hao tunaingia kichwa kichwa.
Halafu hivi siku wapo wale wanaofuata imani zao za jadi?
Nilishangaa pia pale niliposikia kabadili dini, nakumbuka kuona na picha zake akiwa amepiga kanzu na kilemba, tena na jina la Ghadafi. yawezekana zilikuwa bangi, pia wengi wao wanaobadili badili dini akili zao huwa haziko sawa. nilishawaona baadhi yao