Jose Chameleone Returns to Catholic Religion for the Good of His Family!

Watu walisema hapa jf bangi sio mchicha,IMANI ya kurithi ukubwa ni uchizi tu,hata wakristo ukiona anahama kanisa hili kwenda lile liko tatizo kwake,OMBA YESU AKUBEBE SIO KANISA
 
Msimshangae jamani inawezekana alichokifata kashakipata!
:laugh:
 
Poor him.
Ndiyo shida ya IMANI za kurithi!..Mtu anakuwa hana uthabiti na anachokiamini!
Nampongeza Jose kwa ujasiri na kurudia dini yake anayoipenda,napongeza uamuzi wake wa kuhama dini na sasa kurudi akiwa kama mwanadamu mtafuta tumaini la milele hana budi kuhama hama dini.Pia napongeza na uamuzi wa familia yake kwa kumshinikiza kurudia dini yake ya zamani na napongeza pia uamuzi wa Jose kukubaliana na shinikizo la familia yake.

Ndugu,Jose hatakiwi kulaumiwa bali apongezwe kwa kuonekana kama kijana anaeitafuta pepo kwa nguvu mahali popote anapoona panmfaa.Pongezi Jose
 
Mimi nilishacomment hapa kuwa hii ni publicity stunt na kweli yametokea
 
Hakuna habari ya kushangaza hapa,..........
Tunaoona mbali tulishalifahamu hili, ila bado natafiti ni shilling ngapi walimpa, na ukitaka kujuwa kama ulikuwa ni mzaha angalia hata hilo jina ambalo alichaguwa eti GADDAFI!
 
jiina la YESU lihimidiwe sana...mm nilishasema jaman jaman huyu jamaa atarudi tu..coz mtoto anpojiona ameshakuwa mtu mzima na kuamua kuondoka kwenda kutafuta maisha ni lazima tu aturudi kwa baba yake na mama yake...umesamehewa JOSEE KAMILION
 
Kweli kabisa aisee. Unakuta dini imeanzia sijui wapi huku na sisi hao tunaingia kichwa kichwa.

Halafu hivi siku wapo wale wanaofuata imani zao za jadi?

Tupo kaka, manake fasheni hizi zinazoitwa "dini kuu" za dunia zimefanya ndugu na watu wa kabila moja kutooana wala kuzikana! What a f**k! Mnaacha kuoana eti kwa vile mwenzio anaamini mababu wa kiarabu na mwenzako mababu wa kizungu! Na baba anamkana mwanae kwa ajili hiyo!
 
Nilishangaa pia pale niliposikia kabadili dini, nakumbuka kuona na picha zake akiwa amepiga kanzu na kilemba, tena na jina la Ghadafi. yawezekana zilikuwa bangi, pia wengi wao wanaobadili badili dini akili zao huwa haziko sawa. nilishawaona baadhi yao

Kama vile baadhi ya mababu zetu walivyoacha na kukana dini zao na badala yake kukimbilia kuamini mizimu ya kiarabu na ya kizungu na kujiita majina ya mizimu hiyo! mara mohamed, abdala, marco, joseph!
 
Daaaa! anabahati huyu angekuja kukamuliwa mavi siku angekufa!
Wange kamaua mno kinyesi chooote nje, then angekuwa mdogo kama kuni!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom