Jose Chameleone Returns to Catholic Religion for the Good of His Family!

Huyo alikuwa anatafuta media attention baada ya kuona amefulia kimuziki
 
Kwa utetezi wake na dhamira zake, sidhani kama aliwahi kuwa Mkristo au Kuukiri uislamu.... Kiimani yeye badi ni nyoya lielealo angani, hakuna ajuae litatua mda gani na mahali gani...
 
Hakuna habari ya kushangaza hapa,..........<br />
Tunaoona mbali tulishalifahamu hili, ila bado natafiti ni shilling ngapi walimpa, na ukitaka kujuwa kama ulikuwa ni mzaha angalia hata hilo jina ambalo alichaguwa eti <b>GADDAFI!</b>
<br />
<br />
Uislamu ni dini iliyojitosheleza aihitaji kumpa mtu pesa ili aje huku tunahitaji mtu thabiti,aliamua kuja yeye mwenyewe na ameondoka yeye mwenyewe,alipokuja ajatuzidishia kitu na alipoamua kuondoka ajatupunguzia chochote,kilichopo anatakiwa aache dhihaka kwenye imani ataharibikiwa jumla mwenyezi mungu adhiakiwi
 
Back
Top Bottom