Jordan University First Year 2016 tukutane hapa

Jordan University First Year 2016 tukutane hapa

Mmavele jr

Senior Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
130
Reaction score
53
Majina ya waliochaguliwa jordan university kwa awamu ya kwanza na pili yameshatoka na kama wewe ni kati yao basi pita hapa tujuane na kwa whatsup group WASILIANA NA NO 0745709844 group lipo tayali
 
Ni kwel mkuu second round wametoa?
naona umechaguliwa kaka, hongera
1475752384812.png
 
ni chuo safi sana, kinauongozi mzuri,mandhari nzuri, ni tawi la saut kipo mjini. Ni chuo kama umechaguliwa hapo hakika hautajutia kusoma hapo. Welcome Jordan University College in Morogoro.
Kuna hosteli mkuu hpo dd yngu aja hko
 
Yes kwaanae fahamu when tunaitajka kuanza kurpot pia vitugan vya mxing unavyo itajka kufka navyo?
 
Alietangaza kuanzxha cru ya watsap nae jpu mbona atulioni jomba. Au ulikua unatafuta kk
 
Back
Top Bottom