Jordan Rugimbana alimkosea nini Hayati Magufuli?

Rugimbana n mtu poa sana na kiongozi mwelewa, sema mwendazake alitaka sana kuabudiwa kuliko hata Mungu!
Bora kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi ukiwa umepiga magoti!
 
Sidhani kama walitegemea kama angefika hospitali akiwa hai. Hauwezi kufanya mission kama hiyo alafu watu wengi kiasi hicho wawe involved.

Kama kuna maelezo RC alipata itakuwa ni baada ya mambo kwenda mrama na jamaa kufikishwa hospitalini.

Siku ile sidhani kama kuna mtu yeyote angemsikiliza jiwe, wabunge wa CCM walilia machozi hadharani, yaani ni kama roho wa Mungu alishuka pale Dom, kila mtu alipambana kuokoa uhai ya Lissu.

Kama haijapangwa haijapangwa tu, hata ufanye nini.
Kwa tukio lile inatakiwa familia yake walipwe kisasi by any means.

Magufuri alikuwa shetani, mbwa yule
 
Tarehe 7 Sept 2017
Tundu Lissu anapigwa risasi mkoani Dodoma

October 2017
Jordan Rugimbana mkuu wa mkoa wa Dodoma anatumbuliwa.

Jordan ni mtoto wa Kamisna wa kwanza wa jeshi la magereza nchini. Baba yake alifariki kwa ajali kama sikosei enzi za Nyerere. Nyerere aliwachukua baadhi yao na kuwalea kama wanae.
Huyu alikuwa kada mtiifu wa UVCCM.

Kuna mwaka akawa kiongozi wa mbio za mwenge. Ghafla nyota yake ikawaka na kukwaa ukuu wa wilaya kadhaa kama vile Mwanga,Kinondoni na kuwa RC Dodoma.

Kipindi Tundu Lissu anapigwa risasi yeye ndio alikuwa mkuu wa mkoa wa Dodoma na mwenyekiti wa kamati ya inzi na usalama mkoa. Inasemekana kuna maelekezo toka juu hakuyafata kuhusiana na kumtibia na kumsafitisha majeruhi Lissu.

Baada ya kutumbuliwa akajifungia ndani akijiikita kufanya shughuli zake binafsi ikiwemo kusimamia ujenzi wa makumbusho ya kabila lao huko Karagwe.

Wanoko wakamfikishia taharifa hayati Magufuli kuwa yule bwana uliyemtumbua anajenga makumbusho kijijini kwao. Magufuli akaupiga stop ule mradi ambao ulikuwa hautumii fedha za umma bali wananchi na wafadhili. Na akamwambia amefungiwa mbinguni na duniani kamwe atalamba asali maishani mwake.

Huu ni mwaka wa nne wenzake akina Chalamila na Kafulila n.k wanatumbuliwa na kurudishwa, yeye yupo tu anacheza bao kijiweni.

Nchi ina watu webgi wa kufanya hizo kazi, siyo lazima awe Rugimbana tu!
 
..Tundu Lissu alikuwa nyang'anyang'a, na matumaini ya kunusurika na kifo yalikuwa madogo sana.

..wengi waliamini kumpeleka Nairobi ilikuwa kuchoma pesa tu kutokana na hali mbaya ya kukatisha tamaa aliyokuwa nayo.

..hata Madaktari wa Nairobi wanaona kupona kwa Lissu ni miujiza.
Swala la lisu na wengine kuokotwa kwenye viroba na kupotezewa kusiko julikana Ni Jambo baya Sana kuwahi kufanya na serekali , serekali ya jiwe ilikuwa inawajali Sana Rai wake ika swala la risasi za lisu na kuokotwa kwenye viroba watu Ni baya Sana imearibu mazuri yote ya magufuli kwangu .kila nikitaka kumsifia magu nikikumbuka masila yake roho inasononeka sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Alitumwa na nani? yaani Kila anayemkosoa Rais katumwa so hata kina Bashiru na Mpina wametumwa kisa wanamkosoa Mama??

Cha kuchekesha hao Barrick/Acacia aliyekua Makam wa Rais wa hiyo taasisi ndio kapewa ubunge na JPM licha ya kuwa na kesi ya mabilioni. Kwanini hizo risasi asimiminiwe Mwanyika au Kafumu? Au Chenge? Yaani walioiba madini yetu wapo hai ila anapigwa risasi mtu ambaye hakuhusika hata utiaji Saini.

Aisee hii nchi ya ajabu sana
Swala la Johnson mwanyika kupewa ubunge nilikuwa Sina majibu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kisa
Hakushiriki IPASAVYO mauaji!!?

LAKINI huyu lisu!!!?

Aliifanya Nini jamuhuri hadi Baraka za shambulizi lake likafanyika!!?

Aliponzwa na waliomtuma!?!?!?

Acha ibaki ivo ivo!
Haikuwepo baraka ya Jamhuri bali chuki ya mtu mmoja ambaye kwa bahati mbaya alikalia kile kiti.
Ila Mungu alivyo mkuu, hata wangetumia kifaru cha jeshi wasingefanikiwa uovu wao.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Sidhani kama walitegemea kama angefika hospitali akiwa hai. Hauwezi kufanya mission kama hiyo alafu watu wengi kiasi hicho wawe involved.

Kama kuna maelezo RC alipata itakuwa ni baada ya mambo kwenda mrama na jamaa kufikishwa hospitalini.

Siku ile sidhani kama kuna mtu yeyote angemsikiliza jiwe, wabunge wa CCM walilia machozi hadharani, yaani ni kama roho wa Mungu alishuka pale Dom, kila mtu alipambana kuokoa uhai ya Lissu.

Kama haijapangwa haijapangwa tu, hata ufanye nini.
Aisee
 
Mwendakuzimu alitengeneza viongozi wa hovyo. Nakumbuka RC Gambo alikamata watu waliokuwa wakitoa rambirambi wakati wa ajali ya Lucky Vicent. Aliamrisha rambirambi zifuate utaratibu wake na sio unaenda moja kwa moja kwa wafiwa. Katika waliotiwa ndani walikuwepo viongozi wa dini.
 
Bila RC kujua wale Polisi waliondolewa na nani getini? Au bila RC kujua unadhani Ile plate number ya gari lililokua linamfuatilia Lissu lingeachwa tu??

Tanzania hatuna competence ya kiasi hicho unachofikiria. Kma kifo cha Rais kinavuja unadhani RC atashinda kuwa na informants kuhusu covert operations ndani ya mkoa wake? Maana asipojuzwa anaweza intercept alafu mambo yakaharibika.
Rejea operation ya kumuua Osama, president Obama anasema ilikuwa ni mission ya watu wachache sana hata chimbo alipokuwa si jeshi wala rais wa nchi aliyejua huo mpango.
Kuna risks za siri kuvuja, hata hizi opposition parties zina watu ndani ya system.
Linapokuja suala la plan B ndipo mambo ya kulazimisha na carelessness yanapotokea, simu za hovyohovyo ukichanganya na panic kwa kuwa mambo hayakwenda kama yalivyotarajiwa sasa inakuwa ni liwalo na liwe mpaka aliyekusudiwa kuuawa auliwe tu.
Jiwe alilikoroga sana pale.
 
Back
Top Bottom