Jordan Rugimbana alimkosea nini Hayati Magufuli?

Tarehe 7 Sept 2017
Tundu Lissu anapigwa risasi mkoani Dodoma

October 2017
Jordan Rugimbana mkuu wa mkoa wa Dodoma anatumbuliwa.

Jordan ni mtoto wa Kamisna wa kwanza wa jeshi la magereza nchini. Baba yake alifariki kwa ajali kama sikosei enzi za Nyerere. Nyerere aliwachukua baadhi yao na kuwalea kama wanae.
Huyu alikuwa kada mtiifu wa UVCCM.

Kuna mwaka akawa kiongozi wa mbio za mwenge. Ghafla nyota yake ikawaka na kukwaa ukuu wa wilaya kadhaa kama vile Mwanga,Kinondoni na kuwa RC Dodoma.

Kipindi Tundu Lissu anapigwa risasi yeye ndio alikuwa mkuu wa mkoa wa Dodoma na mwenyekiti wa kamati ya inzi na usalama mkoa. Inasemekana kuna maelekezo toka juu hakuyafata kuhusiana na kumtibia na kumsafitisha majeruhi Lissu.

Baada ya kutumbuliwa akajifungia ndani akijiikita kufanya shughuli zake binafsi ikiwemo kusimamia ujenzi wa makumbusho ya kabila lao huko Karagwe.

Wanoko wakamfikishia taharifa hayati Magufuli kuwa yule bwana uliyemtumbua anajenga makumbusho kijijini kwao. Magufuli akaupiga stop ule mradi ambao ulikuwa hautumii fedha za umma bali wananchi na wafadhili. Na akamwambia amefungiwa mbinguni na duniani kamwe atalamba asali maishani mwake.

Huu ni mwaka wa nne wenzake akina Chalamila na Kafulila n.k wanatumbuliwa na kurudishwa, yeye yupo tu anacheza bao kijiweni.
Yeye na Waziri wa afya wakati huo waliratibu matibabu na usafiri wa Lissu kuruka kwenda NBI kwa kibali maalum toka Airport Dodoma usiku - Mwenda alichukia saaana.
 
Hakutii agizo la kuhakikisha Lissu anakufa, akiwa mkuu wa kamati ya ulinzi alizubaa vipi mpaka Lissu akasafirishwa. Na kama angekufa gunia la mavi angebebeshwa Mbowe, ulishaanza mkakati huo ila kwa bahati nzuri Lissu hakufa na anajua alianza kuwindwa kitambo pia alisharipoti polisi kuwa anafuatiwa na watu abaowatilia shaka japo polisi haikujali ni kama ilikuwemo kwenye hiyo mission ya kumuua.
 
Wewe Mdukuzi mimba uliyodungwa Magufuli itakuuwa kula malimao mengi sana. Utamtukana sana Magufuli lakini utatumia sana miradi yake.
 
Tarehe 7 Sept 2017
Tundu Lissu anapigwa risasi mkoani Dodoma

October 2017
Jordan Rugimbana mkuu wa mkoa wa Dodoma anatumbuliwa.

Jordan ni mtoto wa Kamisna wa kwanza wa jeshi la magereza nchini. Baba yake alifariki kwa ajali kama sikosei enzi za Nyerere. Nyerere aliwachukua baadhi yao na kuwalea kama wanae.
Huyu alikuwa kada mtiifu wa UVCCM.

Kuna mwaka akawa kiongozi wa mbio za mwenge. Ghafla nyota yake ikawaka na kukwaa ukuu wa wilaya kadhaa kama vile Mwanga,Kinondoni na kuwa RC Dodoma.

Kipindi Tundu Lissu anapigwa risasi yeye ndio alikuwa mkuu wa mkoa wa Dodoma na mwenyekiti wa kamati ya inzi na usalama mkoa. Inasemekana kuna maelekezo toka juu hakuyafata kuhusiana na kumtibia na kumsafitisha majeruhi Lissu.

Baada ya kutumbuliwa akajifungia ndani akijiikita kufanya shughuli zake binafsi ikiwemo kusimamia ujenzi wa makumbusho ya kabila lao huko Karagwe.

Wanoko wakamfikishia taharifa hayati Magufuli kuwa yule bwana uliyemtumbua anajenga makumbusho kijijini kwao. Magufuli akaupiga stop ule mradi ambao ulikuwa hautumii fedha za umma bali wananchi na wafadhili. Na akamwambia amefungiwa mbinguni na duniani kamwe atalamba asali maishani mwake.

Huu ni mwaka wa nne wenzake akina Chalamila na Kafulila n.k wanatumbuliwa na kurudishwa, yeye yupo tu anacheza bao kijiweni.
Ww ndio Rugimbana mwenyewe. Umechomekea fleshi kwamba Mwalimu alikulea. Wabongo mna akili sana
 
Hakutii agizo la kuhakikisha Lissu anakufa, akiwa mkuu wa kamati ya ulinzi alizubaa vipi mpaka Lissu akasafirishwa. Na kama angekufa gunia la mavi angebebeshwa Mbowe, ulishaanza mkakati huo ila kwa bahati nzuri Lissu hakufa na anajua alianza kuwindwa kitambo pia alisharipoti polisi kuwa anafuatiwa na watu abaowatilia shaka japo polisi haikujali ni kama ilikuwemo kwenye hiyo mission ya kumuua.
Mungu ni mwema sana aisee
 
Yeye na Waziri wa afya wakati huo waliratibu matibabu na usafiri wa Lissu kuruka kwenda NBI kwa kibali maalum toka Airport Dodoma usiku - Mwenda alichukia saaana.
Siku ya kufa Lissu ilikuwa bado haijafika,Mungu fundi
Hakutii agizo la kuhakikisha Lissu anakufa, akiwa mkuu wa kamati ya ulinzi alizubaa vipi mpaka Lissu akasafirishwa. Na kama angekufa gunia la mavi angebebeshwa Mbowe, ulishaanza mkakati huo ila kwa bahati nzuri Lissu hakufa na anajua alianza kuwindwa kitambo pia alisharipoti polisi kuwa anafuatiwa na watu abaowatilia shaka japo polisi haikujali ni kama ilikuwemo kwenye hiyo mission ya kumuua.
Mungu fundi
 
Back
Top Bottom