Joram Nkumbi huyu dogo ni genius

Joram Nkumbi huyu dogo ni genius

Sasa inakuwaje kama mtu hajawahi kumsikia unasemaje ni unafiki binafsi ndio nmelisikia Hilo jina asubuhi hii kwa kutusaidia ungetwambia ni nani na anafanya Nini sio kwa vile mnashikana matako huko unataka kufos Kila mtu amfahamu we twambie ni nani mazafaka!!!
Sio rahisi
 
Imenibidi niingie Youtube kumtafuta huyo jamaa. Inasikitisha sana kuambiwa ni genious kwa sababu anaongea kiswahili kingi na nahau
Ana kiswahili cha kamusi..

Sema anakijua. Na ana unique expression.

He is great kwa upande wa Lugha ya Taifa.
Asa wengi naona wana hate tu na wamejaa Wivu.
 
Msingida mmoja, maneno mengi na kujiita mtaaluma wa Kiswahili. Kama ndiye huyo niliwahi kumuona kwenye TV station moja, basi mleta mada ni chenga tupu.
Kabisa mkuuu
 
Back
Top Bottom