Askofu Mwizarubi?Kama ndo yule white anafanya vizuri, nimeishi nae pale kwa mwizarubi chini ya sinon 😄😄, niishie hapa...
Vigezo vya kuwa genius Tanzania ni vidogo sanaTanzania kila mtu siku hizi ni genius
Habari wakuu,
juzi kati apa nimepata wasaa wa kuangalia video kumhusu huyu kijana aitwaye Joram Nkumbi ama hakika huyu kijana yupo nondo mnoo
Kuna mtu ulikuwa unapiga naye story ndo ikajitype humu au ulidhamiria kufikisha ujumbe!?Habari wakuu,
juzi kati apa nimepata wasaa wa kuangalia video kumhusu huyu kijana aitwaye Joram Nkumbi ama hakika huyu kijana yupo nondo mnoo