Joram Nkumbi huyu dogo ni genius

Joram Nkumbi huyu dogo ni genius

Habari wakuu,

juzi kati hapa nimepata wasaa wa kuangalia video kumhusu huyu kijana aitwaye Joram Nkumbi ama hakika huyu kijana yupo nondo mnoo

Genius My foot!!
Anasoma kamusi ya kiswahili, hekaya za zamani, mashairi ya shaaban Robert, na vitabu kede wake kede vya lugha kisha anakariri na kuja kumwaga kwa hadhira.
 
Back
Top Bottom