fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,498
- 27,813
jinsi ulivoandika hapa kifala fala hivi ata kama ni mwehu kama baba levo lazima utamuona ni genius tu
YapAskofu Mwizarubi?
Kijana huyu ni maridadi kwenye kukamata kumbikumbi na kuwajaza kwenye magunia.Habari wakuu,
juzi kati apa nimepata wasaa wa kuangalia video kumhusu huyu kijana aitwaye Joram Nkumbi ama hakika huyu kijana yupo nondo mnoo
Unaona kila mtu anamjua kila unaemjua sio? na watu wa umaarufu wa insta!, wengine tukiingia jamii forum tukiangalia taarifa ya habari huko aljazera or BBC tumemalizaWengi hapa mnacomment kinafiki kana kwamba hamumfahamu Joram. Acheni upumbavu. Mleta mada yuko sahihi sijaona alichokosea
Kwakuwa wewe unamfahamu unadhani wote wanamfahamu, hata hivyo jina si hoja inawezekana siye unayemdhania kwani majina hufanana.Wengi hapa mnacomment kinafiki kana kwamba hamumfahamu Joram. Acheni upumbavu. Mleta mada yuko sahihi sijaona alichokosea
Ukiwa mwongeaji tu kama manara wewe ni geniusVigezo vya kuwa genius Tanzania ni vidogo sana
Naona unaungana na juha mwenzio. Ni nani huyo Joram?Wengi hapa mnacomment kinafiki kana kwamba hamumfahamu Joram. Acheni upumbavu. Mleta mada yuko sahihi sijaona alichokosea
Imenibidi niingie Youtube kumtafuta huyo jamaa. Inasikitisha sana kuambiwa ni genious kwa sababu anaongea kiswahili kingi na nahauUkiwa mwongeaji tu kama manara wewe ni genius
Ni vigumu sana kuiondowa Ccm madarakani kama Watanzania ndio kama huyu.Habari wakuu,
juzi kati apa nimepata wasaa wa kuangalia video kumhusu huyu kijana aitwaye Joram Nkumbi ama hakika huyu kijana yupo nondo mnoo
Yani basha wako wewe unatalajia kila mtu amjuwe?Wengi hapa mnacomment kinafiki kana kwamba hamumfahamu Joram. Acheni upumbavu. Mleta mada yuko sahihi sijaona alichokosea
Sasa inakuwaje kama mtu hajawahi kumsikia unasemaje ni unafiki binafsi ndio nmelisikia Hilo jina asubuhi hii kwa kutusaidia ungetwambia ni nani na anafanya Nini sio kwa vile mnashikana matako huko unataka kufos Kila mtu amfahamu we twambie ni nani mazafaka!!!Wengi hapa mnacomment kinafiki kana kwamba hamumfahamu Joram. Acheni upumbavu. Mleta mada yuko sahihi sijaona alichokosea
Mpumbavu anaweza kuwa ni wewe mwenyewe.Wengi hapa mnacomment kinafiki kana kwamba hamumfahamu Joram. Acheni upumbavu. Mleta mada yuko sahihi sijaona alichokosea
Msingida mmoja, maneno mengi na kujiita mtaaluma wa Kiswahili. Kama ndiye huyo niliwahi kumuona kwenye TV station moja, basi mleta mada ni chenga tupu.Imenibidi niingie Youtube kumtafuta huyo jamaa. Inasikitisha sana kuambiwa ni genious kwa sababu anaongea kiswahili kingi na nahau
Ndiyo nani huyo?Habari wakuu,
juzi kati apa nimepata wasaa wa kuangalia video kumhusu huyu kijana aitwaye Joram Nkumbi ama hakika huyu kijana yupo nondo mnoo