Mkuu ni kweli kuna kucopy kwa baadhi ya riwaya. Nina riwaya moja ya joram inafanana na riwaya fulani ya hadley chase jina nmelisahau. Jamaa aliua matajairi wawili nadhani halafu waliobaki akawa anawatishia walipe pesa ili wasiuawe. Sasa hiyo riwaya ya joram ina kufanana fulani na hiyo riwaya.Nafikiri wanalinganisha maudhui ya kiupelelezi ndo mana wanasema hivyo ila kiuhalisia sioni kufanana kwa kazi zao labda waseme ni riwaya gani wamecopy kutokea huko tulinganishe
Nimesoma vitabu vyote vya Aristablus Elvis Musiba vyenye story za Willy Gamba na pia nimesoma sehemu kubwa ya vitabu vya James Hadley Chase lakini sikumbuki kuona popote ambapo mtu unaweza kusema Musiba alikopi kutoka kitabu hiki cha James Hadley Chase. Labda staili ya uandishi.Ni members wanajidai much know
Huna baya kabisa πWote wazuri
Jaribu kukumbuka ukipata jina la hiyo riwaya ilite mana najaribu kukumbuka kisa cha namna hiyo lakini hakijiMkuu ni kweli kuna kucopy kwabaadhi ya riwaya. Nikariwaya moja ya joram inafanana na riwaya fulani ya hadley chase jinanmelisahau. Jamaa aliua matajairi wawili nadhani halafu waliobaki akawa anawatishia walipe pesa ili wasiuawe. Sasa hiyo riwaya ya joram ina kufanana fulani na hiyo riwaya.
Mimi Nina ushahidi wa riwaya moja ya Shaaban Robert alicopy Kila kitu kutoka riwaya nyingine. Nilisikitika sana vile napenda riwaya zake. Siku moja nitashusha Uzi wenye jina :Ni chuki zao tu
HaingiiKwahiyo hata kidogo Joram haingii kabisa kwa Gamba
Utanitag mkuu ili tuchambueMimi Nina ushahidi wa riwaya moja ya Shaaban Robert alicopy Kila kitu kutoka riwaya nyingine. Nilisikitika sana vile napenda riwaya zake. Siku moja nitashusha Uzi wenye jina :
MFANANO USIO WA KAWAIDA KATI YA RIWAYA YA ......YA SHAABAN ROBERT NA HADIDHI ZA.....ZA....
Sawa mkuuUtanitag mkuu ili tuchambue
Riwaya ipi ulemwelewa sana Gamba.Willy Gamba
Naona una mzigo fullπππ
View attachment 2869003
Unitag pia mkuuπSawa mkuu
Njama ,kikosi cha kisasi, kikomoRiwaya ipi ulemwelewa sana Gamba.
Ni baadhi tuu, kuna vingine vingi havipo kama kufa na kupona nk.Naona una mzigo full