JonBenet Ramsey: Mauaji yake yalikuwa ni ya ajabu!

that kid was sooooooo beautiful, at her age of 6 tayari alikuwa na mataji 50 ay urembo!!! amazing indeed! amefariki hajui dhambi ni nini, ameteseka kwa kunajisiwa na walafi wasio ridhika na kei za wakomavu wenzao, imeniuma, nimesikia machozi yanatoka, nina mabinti wa3, cant imagine myself inthat situation na nijue kuwa MUME wangu ni muhusika. NITAMUUA KWA MIKONO YANGU MIWILI, LITAKALOKUWA NA LIWE! pathetic kwa kweli!
 
Mtambuzi, ukipata muda itafute kesi ya mauaji ya James Byrd, Jr.

Hii ni moja ya kesi ambazo siwezi kuzisahau.
Nyani Ngabu naheshimu uwepo wako katika uzi huu.........
Nitaitafuta na kuiweka hapa siku zijazo, tuombe uzima
 
Last edited by a moderator:
Unataka kumjua muuaji? Muuaji ni huyu hapa: (Usisahau mwanae wa kiume alikuwa na miaka 9 tu, asingeweza fanya mambo makubwa namna hii)

1. Polisi na uzoefu wao wameusaka mwili nyumba nzima wakaukosa
2. Baada ya polisi kuondoka, baba mtu akauona mwili (Usisahau alishautafuta akaukosa kabla polisi hawajafika)
3. Baada ya kuuona, badala ya kuwaita polisi akauchukua na kuupeleka sebuleni (ofkoz ili alama zake zikionekana kwenye mwili wa marehemi, ionekane ni wakati anauchukua mwili na kuupeleka sebuleni)

Ningekuwa mimi ningemtia hatiani baba wa marehemu.
Haki ya wallah tena.

Nimekupata kabisa Asprin na tuko pamoja mpaka hapo. Lakini kaka niliekua na mzungumzia mimi ni step brother wa yule mke wa kwanza ambae kwa wakati huo alikua 20yrs(Andrew). Soma tena hapa chini:

Halafu tena kuna huyu mchambuzi alizungumzia tuhuma hizo akiambatanisha na vidokezom kadhaa:

John Andrew Ramsey


Here are some things I feel pecuilar about JAR:

1.) The R's neighbor, Joe Barnhill, reported seeing John Andrew walk up to the R's house, on 12/25. Does anyone know if this sighting was when the R's had already gone to the Whites house? Barnhill later changed his statement to say that he might have been mistaken.

2.) There is no home video footage of Christmas morning. There are only two pictures. Was JAR in any of those pictures and videos that they had to be erased?

3.) One of the original people that John has stayed close to throughout the years was his pilot, Mike Archuletta. Did Mike give JAR the plane ride to and from Boulder?

4.) Why did John and Patsy say that they wouldn't answer any questions until the police cleared JAR and Melinda?

5.) JAR's suitcase with his blanket, book, and semen were found near JonBenet's body.

6.) It's been said that JonBenet was being molested but not on a regular basis. Since JAR was in Boulder but not always at home, he would of had irregular access to JBR. Didn't she go to the school nurse on Mondays? Did JAR make a stop at home during the weekend?

7.) Why did John lawyer up his family like his ex-wife and not Patsy's family? (I'm not positive about this; but I'm pretty sure Lucinda got a lawyer and Nedra didn't)

8.) LE cleared JAR because of a picture of him at an ATM. Wouldn't that picture be really grainy? If he spent Christmas with his mom's family, then why aren't there any pictures of him there? Also, didn't he go to the movies too on 12/25? So he went to his mom's house and the movies on 12/25? Or was his mom's house on 12/24?

Now, I know that someone will say that Patsy would have never covered up for JAR but John was the one with money and connections. He could have told Patsy that she keeps her mouth shut about his son, or he'll throw her under the bus.


 
Last edited by a moderator:
So sad jamani,
Kwakweli mimin naungana na babu Asprin na Mbalu, baba mzazi anahusika 101%
Huyu alizoea kummolest huyu mtoto naona safari hii mtoto alimtishia kumweleza mama yake au kutoa hiyo siri...

Jamani dunia hii
Wale watu tunao waamini na kuwategemea kama ndio walinzi wetu, ndio watu ambao wanatufanyia ukatiri wa kutisha.
poor jonbenet, alikuwa bado mdogo hawezi kujitetea na mtu aliyemuona kama mtetezi wake ndiye aliyemfanyia ukatiri wa ajabu ,naamini hivyo!

Huyu baba katiri hakuchukua taadhari pale alipoambiwa asipigie polisi simu yeye ghafla akawapigia bila kujali kuzulika kwa mwanawe.

Alijua fika kuwa mwanawe amekwisha fariki na ndio maana alikuwa hajajali akaamua kuripoti polisi.
 
nimebaki dilema mkuu,kwanini wamuue binti yao? pesa haikuwa taitzo kwao so hawakufanya hivyo for money!!!! though pamoja sana mkuu....
 
Mtambuzi,
Kuna kipande ambacho umekiandika kinasema Daktari aliona kuwa huyo mtoto alishanajisiwa tangu siku nyingi na inaonekana kabisa hata alipochukuliwa hapo kitandani hakupiga kelele kwani alichukuliwa na mtu anayemjua

Mtambuzi swali linabaki palepale, huo waraka Uliandikwa saa ngapi?, au Andrew alikuja na kidaftari chote chenye huo waraka+ hizo page mbili alizokosea?
kwa nini polisi hawakumwambia Andrew atoe sample zake za maandishi ili waone kama sio yeye ni mwandishi?
Kituko soma zaidi hapa chini halafu unganisha DOTS.................

Wakati huo huo Polisi walikuwa wakindelea kuipeleleza familia ya Ramsey kuhusiana na mauaji hayo na baada ya siku kadhaa walikuja na taarifa zenye viashiria ambavyo vilikuwa vinaonesha kwamba kati y John Ramsey au mkewe Patsy Ramsey au wote kuna uwezekano walihusika na mauaji ya JonBenet. Polisi walipata vielelezo kadhaa katika nyumba yao ya Boulder. Mojawapo kilikuwa ni kijidaftari kidogo kilichotumiwa na mtekaji nyara kuandika barua ya ujumbe kwa familia ya Ramsey lakini kukiwa na karatasi kadhaa zlizotumiwa kuandika ujumbe huo lakini zikaachwa kutokana na kukosewa.

Polisi walishangaa kwa sababu waliamini kwamba mtekaji nyara yeyote angeandaa barua ya ya kudai malipo ya utekaji nyara (Ramsom Letter) muda mrefu kabla ya kutekeleza utekaji nyara. Hivi inawezekana kweli mtekaji nyara huyo akae muda wote huo kwenye nyumba ya mtu aliyemteka nyara na apate muda wa kukaa na kuandika barua yenye kurasa tatu kwa mkono kisha aondoke, tena akiwa amefanya jaribio la kuandika barua hiyo mara mbili baada ya kukosea? Hili ni swali ambalo liliwaumiza Polisi vichwa.

Halafu na hapa pia...............

Lakini swali ambalo lilikuwa linawatatiza Polisi hao wa upelelezi lilikuwa, ni kwa nini JonBenet Ramsey aliuwawa? Ni jambo lililowazi kwamba aliuwawa muda mrefu tu kabla ya mke wa Ramsey hajaona barua iliyoachwa na mtekaji nyara ya kudai malipo, na mwili wake uliachwa mle mle ndani mahali ulipokutwa. Je ni kitu gani ambacho familia ya Ramsey ingenufaika nacho kwa kuwalipa watekaji wakati wanajua mtoto JonBenet amekwishakufa?
 
Last edited by a moderator:
Dah! inasikitisha sana kuona mtoto anateswa kiasi hiki! nadhani ni wivu umetawala sana hapa! na nina wasiwasi na watoto wa huyo mzee alozaa kwenigne, Hii kesi naikumbuka sana huyu mtto alikuwa na talents yaani dah ! imenisikitisha na mama yake kufariki hata hajajua muuwaji wa mtoto wake ! ahsante mtambuzi kwa hili
 
Huyu mtu aliefanya haya mauaji ya huyu binti siku ya mwisho atajibu, imeniuma sana hasa kwa vitendo wanavyotendewa watoto wakike. tuamke wanawake wote tuungane ili kukomesha vitendo viovu kama hivi, hata mitaani tunapoishi hivi vitendo ni vingi sana.
 
Inaonekana huyo mtoto aliwahi kubakwa na babake au mtu wa karibu na familia? na labda kulikuwa na mazoea ya kuingiliwa kama daktari alivyoshindwa kusema,
na kadri umri wa mtoto ulivyokuwa unaenda ilikuwa aje kusema na jamii ingejua na ndio ungekuwa mwisho wa Babake?

njia pekee ya kujisalimisha kwa mbakaji ilikuwa ni kumuua huyo mtoto
lakini ukisoma ushirikiano uliokuwepo kati ya baba na mama baada ya mtoto kuuwawa unatia shaka sana, walikuwa pamoja na wanasupportiana kiasi cha kuonekana wapo upande mmoja na mara nyingi kwenye kesi za aina hiyo kunakuwaga na mtafaruku mkubwa (Kwenye mazingira ya kifo kama hicho)

Hilo la demand ya hiyo pesa chini ya 200000$ nalo linatia shaka pia, kama polisi walivyokuwa wanahisi ni kwa nini iombwe pesa ileile iliyoingia kama bonus kwa Baba?
 
Inaonekana huyo mtoto aliwahi kubakwa na babake au mtu wa karibu na familia? na labda kulikuwa na mazoea ya kuingiliwa kama daktari alivyoshindwa kusema,
na kadri umri wa mtoto ulivyokuwa unaenda ilikuwa aje kusema na jamii ingejua na ndio ungekuwa mwisho wa Babake?
Kituko , huu hapa ni ufafanuzi uliotolewa na daktari wa mtoto huyo........

JonBenet Ramsey did not have a history of sexual abuse, the 6-year-old girl's doctor and a family spokesman said after an autopsy indicated she was sexually assaulted and strangled.

Portions of the autopsy released Friday revealed ''chronic inflammation'' of the girl's vagina, ''which could be an indication'' of prior sexual abuse, family spokesman Patrick Korten said. ''In this case, it is not.''

JonBenet's pediatrician, Dr. Francesco Beuf, said he never saw any indication that the young beauty queen was sexually abused.

''I can tell you as far as her medical history is concerned there was never any hint whatsoever of sexual abuse,'' Beuf said in an interview with KUSA-TV in Denver.

''I didn't see any hint of emotional abuse or physical abuse.
 
Last edited by a moderator:
Polisi wange acha watu wafanye miujiza bwana,ukute muuaji ange patikana.

Nahisi baba wa huyo mtoto ndio mhusika wa mauaji hayo.
 
Ina mkono wa mtu yawezekana baba mtu ameibeba na akaamua kumuua mama mtu...
Jamani hii dunia si fair kabisa
NATA kuna nadharia moja ilijengwa kwamba, JonBenet alikuwa kikojozi na mama yake alikuwa anakerwa na tabia hiyo, inadaiwa kwamba siku hiyo ya mauaji mama huyo alikuwa anamfokea mwanae kutokana na tabia hiyo na ndipo hasira zikapitiliza na akajikuta anamsukuma mwanae na kwa bahati mbaya akajigonga ukutani na kupasuka fuvu la kichwa na kufariki dunia na ndipo ukatengenezwa mkakati wa kuficha mauaji hayo kitaalamu..... hata hivyo nadharia hiyo ilipuuzwa na Polisi kwa sababu haikuwa na ushahidi wa kutosha.
 
Last edited by a moderator:
hebu kaka jitahd kufuatilia mwisho wa kesi hii coz imenvutia sana hlf imeniacha na maswali meng.
hamic mussa mpaka sasa kesi hii imewekwe kwenye kundi la kesi zilizoshindwa kupatiwa ufumbuzi........ Polisi wamekiri uzembe katika upelelezi wa kesi hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom