JonBenet Ramsey: Mauaji yake yalikuwa ni ya ajabu!

NATA kuna nadharia moja ilijengwa kwamba, JonBenet alikuwa kikojozi na mama yake alikuwa anakerwa na tabia hiyo, inadaiwa kwamba siku hiyo ya mauaji mama huyo alikuwa anamfokea mwanae kutokana na tabia hiyo na ndipo hasira zikapitiliza na akajikuta anamsukuma mwanae na kwa bahati mbaya akajigonga ukutani na kupasuka fuvu la kichwa na kufariki dunia na ndipo ukatengenezwa mkakati wa kuficha mauaji hayo kitaalamu..... hata hivyo nadharia hiyo ilipuuzwa na Polisi kwa sababu haikuwa na ushahidi wa kutosha.
na hiyo ya kunajisi?
 
Utata mtupu!
 
Back
Top Bottom