Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,661
- 870,345
Mungu ibariki CHADEMAUtaratibu huu mpya wa " kuwezesha mambo " ndani ya chama ama waweza kuita kusongesha ni MPANGO MAHSUSI wa kuchangia CHADEMA kwa lengo la kuharakisha ukombozi.
Sasa Kuanzia tarehe 1/03/2022 imeanzishwa jambo linaloitwa ONE MILLION CHALLENGE , huu ni mkakati mdogo ndani ya mkakati mkubwa wa kuhakikisha angalau watu milioni 1 wanachangia angalau Tshs elfu 1 tu , yaani ni hivyo tu .
Zaidi angalia bango hili hapa .
View attachment 2134153