Join the Chain yaendelea kushika kasi, sasa ni One Million Challenge

Ukosefu wa miradi au vyanzo vinavyoingiza pesa katika Chama ndio sababu chama kila siku kije na mbinu ya kupata pesa.

So, huu so-called ubunifu unatokana na kushindwa kuwa na miradi endelevu ya kuingizia chama mapato|Pesa.

Ila, Ukiangalia kwa umakini hawa CCM au So Called Kijani wana Miradi Mikubwa sana na vyanzo vya kutosha vya kuingiza pesa katika chama(wamejijenga vizuri kiuchumi) Ndio maana hawalii njaa kama CHADEMA.
Pointless.

Ccm imepora mali nyingi za wanachi na kujimilikisha..anzia viwanja vya michezo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaratibu huu mpya wa " kuwezesha mambo " ndani ya chama ama waweza kuita kusongesha ni MPANGO MAHSUSI wa kuchangia CHADEMA kwa lengo la kuharakisha ukombozi.

Sasa Kuanzia tarehe 1/03/2022 imeanzishwa jambo linaloitwa ONE MILLION CHALLENGE , huu ni mkakati mdogo ndani ya mkakati mkubwa wa kuhakikisha angalau watu milioni 1 wanachangia angalau Tshs elfu 1 tu , yaani ni hivyo tu .

Zaidi angalia bango hili hapa .
Wewe si ulisema join the chain campaign munepata bilioni 20 ndani ya masaa mawil kulikoni tena
 
Chamaa cha kijani na vibaraka wao watakuja kupinga..mana wao ubunifu ni zero..kazi kuimba mapambio kusifu na kuabudu wapate teuzi.

#MaendeleoHayanaChama
Ubunifu wa kutembeza bakuli mpo vizuri kama mama yenu tu.
 
Wakati CDM ikichanja mbuga kwa ubunifu wa kutafuta vyanzo vipya na vya uhakika vya mapato, Chama Cha Madeni (CCM) kimebaki na njia moja ya kuiendesha nchi, nayo ni kutembeza bakuli na kuzidi kukopa tu basi.
Sasa hapo vyanzo gani vya uhakika Mkuu!
 
Ukosefu wa miradi au vyanzo vinavyoingiza pesa katika Chama ndio sababu chama kila siku kije na mbinu ya kupata pesa.

So, huu so-called ubunifu unatokana na kushindwa kuwa na miradi endelevu ya kuingizia chama mapato|Pesa.

Ila, Ukiangalia kwa umakini hawa CCM au So Called Kijani wana Miradi Mikubwa sana na vyanzo vya kutosha vya kuingiza pesa katika chama(wamejijenga vizuri kiuchumi) Ndio maana hawalii njaa kama CHADEMA.
Ubunifu wa CCM, kimsingi upo katika wizi na uporaji. CCM ni wazoefu sana katika hilo.

CCM, pamoja na wizi mwingine, wanategemea sana mapato kutoka kqenye majengo na viwanja vya michezo walivyovipora kutoka kwa wananchi.
 
Ukosefu wa miradi au vyanzo vinavyoingiza pesa katika Chama ndio sababu chama kila siku kije na mbinu ya kupata pesa.

So, huu so-called ubunifu unatokana na kushindwa kuwa na miradi endelevu ya kuingizia chama mapato|Pesa.

Ila, Ukiangalia kwa umakini hawa CCM au So Called Kijani wana Miradi Mikubwa sana na vyanzo vya kutosha vya kuingiza pesa katika chama(wamejijenga vizuri kiuchumi) Ndio maana hawalii njaa kama CHADEMA.

..miradi inasababisha mgongano wa maslahi kati ya serikali na chama.

..sheria ya vyama vya siasa inatakiwa ipige marufuku vyama vya siasa kuwa miradi ya kiuchumi ili kuepusha uwezekano wa vyama hivyo kuipendelea miradi yake ikiwa vitafanikiwa kushika dola.

..chanzo cha mapato ya chama cha siasa kinapaswa kuwa michango na ruzuku.

..Pia sheria inapaswa kuweka kiwangu cha jjuu ambacho mwananchi au kampuni wanaweza kuchangia chama, na vilevile sheria inatakiwa iweke kiwango cha juu ambacho chama au mgombea anaruhusiwa kutumia ktk kampeni za uchaguzi.

Cc Erythrocyte , Nguruvi3
 
Utaratibu huu mpya wa " kuwezesha mambo " ndani ya chama ama waweza kuita kusongesha ni MPANGO MAHSUSI wa kuchangia CHADEMA kwa lengo la kuharakisha ukombozi.

Sasa Kuanzia tarehe 1/03/2022 imeanzishwa jambo linaloitwa ONE MILLION CHALLENGE , huu ni mkakati mdogo ndani ya mkakati mkubwa wa kuhakikisha angalau watu milioni 1 wanachangia angalau Tshs elfu 1 tu , yaani ni hivyo tu .

Zaidi angalia bango hili hapa .

View attachment 2134153
2963318_1634198508271.jpeg
 
Back
Top Bottom