Join the Chain yaendelea kushika kasi, sasa ni One Million Challenge

Join the Chain yaendelea kushika kasi, sasa ni One Million Challenge

CDM akili kubwa; kabakia babu yetu na Padri wetu ati akisikia mbowe sio gaidi hapati usingizi.

Nasikia anajiandaa kufanya press kulizungumzia hilo..ameomba ulinzi maana linakwenda kuibomoa CDM.
 
CDM akili kubwa; kabakia babu yetu na Padri wetu ati akisikia mbowe sio gaidi hapati usingizi.

Nasikia anajiandaa kufanya press kulizungumzia hilo..ameomba ulinzi maana linakwenda kuibomoa CDM.
Mamluki Slaa angekuwa Smart angeondolewa TEC ?
 
Kuna hela nyingine naipata alhamisi natuma tena. Lema akiwa huko Canada aongeze mtoto mwingine ili ateleze kwenye barafu vizuri. Kwani unakonda kwenye hilo boss?
Tuma tuma tuma pesa.

Nasema tuma pesa.
 
Tukishaikomboa nchi kutoka makucha ya hawa wachawi itabidi tuiuze CCM na makorokoro yao yote kulipa deni.
Wakati CDM ikichanja ambuga kwa ubunifu wa kutafuta vyanzo vipya na vya uhakika vya mapato, Chama Cha Madeni (CCM) kimebaki na njia moja ya kuiendesha nchi, nayo ni kutembeza bakuli na kuzidi kukopa tu basi.
 
Ukosefu wa miradi au vyanzo vinavyoingiza pesa katika Chama ndio sababu chama kila siku kije na mbinu ya kupata pesa.

So, huu so-called ubunifu unatokana na kushindwa kuwa na miradi endelevu ya kuingizia chama mapato|Pesa.

Ila, Ukiangalia kwa umakini hawa CCM au So Called Kijani wana Miradi Mikubwa sana na vyanzo vya kutosha vya kuingiza pesa katika chama(wamejijenga vizuri kiuchumi) Ndio maana hawalii njaa kama CHADEMA.
Nionyeshe miradi miwili tu brother,ili nipate kusadiki maneno yoko! umenifanya nimkumbuke marehem Ben Mkapa aliwahi kusema eti CCM ilikuwa inakwiba mali za wananchi ili iweze kufanya madoido yake!
 
Utaratibu huu mpya wa " kuwezesha mambo " ndani ya chama ama waweza kuita kusongesha ni MPANGO MAHSUSI wa kuchangia CHADEMA kwa lengo la kuharakisha ukombozi.

Sasa Kuanzia tarehe 1/03/2022 imeanzishwa jambo linaloitwa ONE MILLION CHALLENGE , huu ni mkakati mdogo ndani ya mkakati mkubwa wa kuhakikisha angalau watu milioni 1 wanachangia angalau Tshs elfu 1 tu , yaani ni hivyo tu .

Zaidi angalia bango hili hapa .

View attachment 2134153
Hizi fedha hazitatajwa kiasi kilichokusanywa, na zitaliwa kama za sabodo, milioni 500, sabodo alitoa ili CDM wajenge Ofisi, wao wakajenga matumbo yao, Sasa Kila mmoja ana kitambi, mpaka Heche na Mnyika
 
Sasa unalia nini ?
 
Back
Top Bottom