Nilikuwa naomba mnijuze kuhusu join instruction za kozi za afya kwa vyuo vya serikari je vipi zimetoka au bado kwa anaejua naomba anijuze,maana nina dogo langu amechaguliwa chuo cha afya Kibaha,pia nikiangalia kwenye account yake ya NACTE uthibitisho naona hmna kipya asee.