Johnson kuwa Foreign Minister

Mkata Mtaa

Senior Member
Jun 10, 2016
136
142
Naona PM wa UK kwangu mimi kachemka sana, kamteua Johnson mpinzani mkuu wa EU kuwa foreign minister, mtu ambaye alikuwa anatoa lugha kali kuhusu muungano wa Ulaya na mataifa ambayo yako kwenye muungano, kweli wanaweza kumpa ushirikiano wa kutosha mtu ambaye alikuwa anataka utengano?! Najua demokrasia ya Ulaya ilivyopana kwa wananchi wake kuruhusiwa kuandamana, kuna nchi akienda mayai au kurushiwa viatu itakuwa halali yakem
 
Back
Top Bottom