John shibuda MWENGE KITUONI

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Jamani kama upo maeneo ya mwenge kituoni nimemuona J.shibuda
akisubili daladala nilitaka kumpiga picha ili niwawekee hapa lakini simu yangu ya tochi

Kama nimemfananisha am sorry lakini alikuwa anatokwa na jasho ile mbaya

Jamani Chadema mbona mnamtelekeza mbuge wenu?
 
Huenda kutokana na hali ya Makundi yanavyochapana ndani ya Magamba, ule mgao waliokuwa wanampa ili kuichafua CDM sasa hautoki tena. Jamani CCM msimfanye mwenzenu kuwa kama Used condom endeleeni kumlipa ujira wake mnapata dhambi sana amejitahidi sana kuwasaidia japo amechemsha lakini ndio mwisho wa uwezo wake na amejikuta kwamba alikuwa anapambana na NTC wakati yeye alidhani anapambana na jeshi la Comoro.
 
We nawe!!!? Kwani kutembea kwa miguu ni kutelekezwa? maajabu mengi duniani, hili nalo sijui tulitangazie lipigiwe kura?? lol
 
shibuda hana deal tena'chadema wanampotezea ccm nako wanajifanya wako busy'atakoma na kiswahili chake cha mafumbo
 
Mbona rais thomas sankara alikua ana vinjari mtaani kwa miguu?kupanda gari ndio hali bora ya maisha?nchi za ulaya watu wanatumia baiskeli ktk usafiri
 
Wabunge si walipewa mkopo ya magari? Iweje yeye hakuchukua? Lakini kupitia kupanda public transport ndio anaweza kujua matatizo yanayotupata sisi wapiga kura. Nafikiri hiyo ndiyo approach yake katika kuyajua matatizo ya wananchi.
 
kutoka jasho dar es salaam kitu cha kawaida.kituoni anamsubili dreva wake.kipi cha ajabu?mia
 
Tatizo la wabongo ukipanda daladala basi maskini! Kuna kipindi waziri mkuu wa AUSTRALIA alikua anaenda ofsini kwa BAISKELI,huyo nae ametengwa na chama chache?
 
Jitahidi kufikiri kabla ya kupost kitu humu ndani,kutembea kwa mguu au kupanda daladala sio ishu kwa maisha binafsi ya mtu
kutokwa na jasho hilo nalo unashangaa kweli wewe nigamba sema tu ulikuwa unataka kuwasema cdm lkn haikuhusu kwny maisha binafsi ya mtu punguza udaku ulikuwa huna cha kufanya?????
Jamani kama upo maeneo ya mwenge kituoni nimemuona J.shibuda
akisubili daladala nilitaka kumpiga picha ili niwawekee hapa lakini simu yangu ya tochi

Kama nimemfananisha am sorry lakini alikuwa anatokwa na jasho ile mbaya

Jamani Chadema mbona mnamtelekeza mbuge wenu?
 
Back
Top Bottom