Ndugu wana jf, mi maoni yangu kuhusu mbowe kutuhumiwa na baadhi ya viongozi wa CDM,kua anaendesha chama ki dikteta si za kupuuzwa, kwa mfano hata kitendo cha akina zito kutofika bungeni siku ile ya hotuba ya JK,ni ishara tosha kua kuna matatizo ndani ya chama, ingawa akina halima mdee walitoa excuse mbalimbali za kutofika kwao kabisa lakini ukweli wanaujua wenyewe, hivyo basi chadema inapokua ina wachunguza akina shibuda na Zito ni vizuri imchunguze na mbowe,kuna wav wengi na mimi nikiwemo ambao hatuna imani kabisa na vyama vyetu vya siasa, lakini na cdm jinsi ilivyojipanga vizuri na kuzieleza sera zake kwa wananchi,hata sisi tuliona huenda cdm ikawa ndio mkombozi wetu, sasa basi hali ya migogoro kama hiyo mlionayo inatuvunja moyo na kutufanya tuhisi kua na nyie mnatafuta maslahi yenu binafsi. Mi napendekeza mbowe atoke kwenye kiti chake kwa muda then uchunguzi wa tuhuma dhidi yake ufanyike tena kwa misingi ya haki na ukweli na kama ikionekana ni kweli then aondoke halafu aje mwingine ambae atakaeweza kukinusuru chama kwa maslahi ya taifa zima. Mi yangu ni hayo tu.
asanteni kwa maoni yenu, mi nawatakia kila la heri 2015. Ila kumbukeni kuna zaidi ya nusu ya wa tz waliojindikisha kupiga kura lakini hawakupiga, kuna sababu nyingi zikiwemo za kutokua na imani na vyama husika pamoja na wagombea na wengine hatupo nchini ila tunafuatilia nini kinaendelea nyumbani. Asante kwa walionibeza na kuniita kibaraka ila kiukweli ni kwamba mi naipenda nchi yangu kwanza halafu chama kitafuata badae na pia nina haki ya kutoa mawazo yangu pamoja na ya wenzangu wenye msimamo na mitazamo kama yangu. Sina chama na bado sijakiamini chadema kwa asilimia zote. Buena suerte.
Una uhakika gani kuwa nusu ya Watanzania waliojiandikisha kupiga kura hawakupiga kura? Una hakika gani kuwa kura zao hazikuGbagboliwa na tume ya uchaguzi? Ukishangaa ya Ivory Coast.....asanteni kwa maoni yenu, mi nawatakia kila la heri 2015. Ila kumbukeni kuna zaidi ya nusu ya wa tz waliojindikisha kupiga kura lakini hawakupiga, kuna sababu nyingi zikiwemo za kutokua na imani na vyama husika pamoja na wagombea na wengine hatupo nchini ila tunafuatilia nini kinaendelea nyumbani. Asante kwa walionibeza na kuniita kibaraka ila kiukweli ni kwamba mi naipenda nchi yangu kwanza halafu chama kitafuata badae na pia nina haki ya kutoa mawazo yangu pamoja na ya wenzangu wenye msimamo na mitazamo kama yangu. Sina chama na bado sijakiamini chadema kwa asilimia zote. Buena suerte.
asanteni kwa maoni yenu, mi nawatakia kila la heri 2015. Ila kumbukeni kuna zaidi ya nusu ya wa tz waliojindikisha kupiga kura lakini hawakupiga, kuna sababu nyingi zikiwemo za kutokua na imani na vyama husika pamoja na wagombea na wengine hatupo nchini ila tunafuatilia nini kinaendelea nyumbani. Asante kwa walionibeza na kuniita kibaraka ila kiukweli ni kwamba mi naipenda nchi yangu kwanza halafu chama kitafuata badae na pia nina haki ya kutoa mawazo yangu pamoja na ya wenzangu wenye msimamo na mitazamo kama yangu. Sina chama na bado sijakiamini chadema kwa asilimia zote. Buena suerte.
asanteni kwa maoni yenu, mi nawatakia kila la heri 2015. Ila kumbukeni kuna zaidi ya nusu ya wa tz waliojindikisha kupiga kura lakini hawakupiga, kuna sababu nyingi zikiwemo za kutokua na imani na vyama husika pamoja na wagombea na wengine hatupo nchini ila tunafuatilia nini kinaendelea nyumbani. Asante kwa walionibeza na kuniita kibaraka ila kiukweli ni kwamba mi naipenda nchi yangu kwanza halafu chama kitafuata badae na pia nina haki ya kutoa mawazo yangu pamoja na ya wenzangu wenye msimamo na mitazamo kama yangu. Sina chama na bado sijakiamini chadema kwa asilimia zote. Buena suerte.
Du sio kuchakachua kura tena bali gbagboliwa kura!!!Una uhakika gani kuwa nusu ya Watanzania waliojiandikisha kupiga kura hawakupiga kura? Una hakika gani kuwa kura zao hazikuGbagboliwa na tume ya uchaguzi? Ukishangaa ya Ivory Coast.....
nasikitika kuona ndg zangu wa kigoma kuwa wanachagua viongozi wao wanaowapenda mwishoe wanaonekana manunuzi kwa chama tawala kwa kuwanunua ivo basi inaonekana kuwa viongozi hao ni makahaba walioshindika wanaliwa na ccm,angalia aman kaboru na zito,zito kabwe amenunuliwa nyumba mbeazi beach na kimara n mme wake rostam.angalia sasa uyo kabachori ambae hana mahali pa kulala muda wote anishi kwa kuogopa.poleni sana wana chadema kwa hali hiyo mmenidhihirishia kua nyie na cdm yenu mna ajenda ya siri na hamna nia ya kuinusuru nchi, hali hiyo imenifanya ni pate majibu ya maswali yangu. THE BEAUTIFUL ONES ARE NOT YET BORN. nyinyi,cuf, nccr,CCM.. Lenu moja tu. Na kwanjia hakuna ukombozi wa kweli tz. Lazima tujifunze toka kwa majirani kenya walijiunga na kuiangusha serkali ya kanu, lakini nyinyi mlivyo wanafiki mmeshindwa kujiunga na kua kitu kimoja. Shauri yenu.
Samahani mie sichunguzwi
poleni sana wana chadema kwa hali hiyo mmenidhihirishia kua nyie na cdm yenu mna ajenda ya siri na hamna nia ya kuinusuru nchi, hali hiyo imenifanya ni pate majibu ya maswali yangu. THE BEAUTIFUL ONES ARE NOT YET BORN. nyinyi,cuf, nccr,CCM.. Lenu moja tu. Na kwanjia hakuna ukombozi wa kweli tz. Lazima tujifunze toka kwa majirani kenya walijiunga na kuiangusha serkali ya kanu, lakini nyinyi mlivyo wanafiki mmeshindwa kujiunga na kua kitu kimoja. Shauri yenu.
hivi kumbe historia ya watu wa kigoma kumbe ni manunuzi kwa chama tawala,kumbe hawana lolote wamefirisika kimawazo wamepitwa na muda,zito katumiwa na mafisadi kufuruga chama,watanzania tunajisaliti wenyewe hebu angalia serikali ilivyovunja mkataba wa dowans afu leo hii inaambiwa lipe mabikioni pesa,je ofsi ya mwanasheria mkuu ina kazi gani au dowans ni deal ya kupata pesa kwa ajili ya uchaguzi 2015,siami ilo waziri mkuu tuna mashaka na wewe kumbe na wewe unasemw hauna jinsi na kampuni ambayo hamjui mmliki wake afu mnamlipa mtu ambae hamjui,fikiria vizuri kwa maisha ya watanzania.
CRAP........... hivi unamjua vizuri mtu unayemtetea???????? siku ukija kumjua vizuri utakuwa ushachelewa.pole saaanaMbowe ndiyo kiongozi anayetakiwa kwa sasa CDM kwa kuna watu wanapewa vijisenti na mafisadi halafu wana leta choko choko kama Zito na wengine kwa hiyo lazima tuwe na kiongozi mwenye misimamo najua mafisadi wengi na matawi yao kama wewe hupendi lakini hakuna jinsi inabidi iwe hivyo kwa sasa hadi 2015 CDM itakapochukua nchi hii.
Embu ona MAFISADI, CUF, TLP, NCCR, UPDP, CCM, NEC, etc. wote hawa hawamtaki mbowe awe kiongozi wa CDM hivi si ukweli uko wazi hakuna kiongozi wa upinzani anayetaka mwenzake awe na mafanikio wanasahau ni watanzania ndio wanaofanya chadema iwe na mafanikio yanayoonekana.
Sisi wanachama wa chadema ndo tunafahamu chama chetu kinafanya nini.
Ukiwauliza wanataka nani awe mwenyekiti utasikia ZITO ndo anafaa, ukiuliza kwa nini utasikia ndio atamaliza issue ya udini. sasa udini uko wapi na kwa nini kiongo wa nchi hii akiwa muislamu hakuna udini lakini akiwa mkristi ni udini.
Mimi najua ukweli ni kwamba kuna watu wana maslahi binafsi na migogoro ya chadema na ukweli ni kwamba wameshindwa maana hata hela zao sasa zimepungu na miradi ya kupata hela kifisadi sasa imepungu tutawashinda tu hata kama hawataki.
Peoples Power, Songa mbele baba MBOWE na Slaa wananchi tupo pamoja nanyi.
WaTZ sasa hawadanganyiki tena.