How can a thug have brought a party to such a level of development?
Chadema has experienced such a tremendous growth under Mbowe's leadership,Its crystal clear; How do u measure the performance of a leader? By listening to a few people who maliciously appear to be dissatisfied with his leadershp or by seeing the results of hs presence in the office?
As a leader there times its inevitable to be tough and dictatorial to make things happen!!
If Mbowe is a thug,definetly we need 100 more thugs like him for the Party and the nation to see light of day!!!
Unaelewa nini kuhusu Democrasia!?
Udikteta muhimu kwenye mambo ya msingi. Ili CDM iendelee inahitaji kiongozi aneweza kuamua na kusimamia kile alichoamua. Kama Shibuda hukuchunguza kabla ya kujiunga CDM,
Unalo hilo. Maamuzi ya kuogopana ndio yanayozamisha Taifa.
Keep it up F.I. Mbowe
Kumbe shida ni ruzuku na sio kuleta mapadiliko ?? nimekupata sasa
Kumbe shida ni ruzuku na sio kuleta mapadiliko ?? nimekupata sasa
Tofautisha wabunge wa kazi na wabunge wa kuongezea ruzuku
mabadiliko yanaletwa sambamba na upatikanaji wa ruzuku!
Ukikumbushwa jana yako ni uadui , yeye aliita wapinzani wote genge la wahuni leoteh teh sasa ameshakua adui....ndio unakumbuka sasa hivi
My friend, you need a hooligan (not a useless docile homo sapien) to turn around the fortunes of this otherwise blessed nation!mtu yoyote neutral au mwenye kupenda upinzani wa kweli lazima atakubali kwamba mbowe is the worst christmas presenta ya any opposition in the world
huwezi kuwa na hooligan halafu ukampa power ya kuongoza... and if i amy be as honest as possible, Mbowe is CHADENA's weakest link
Ukikumbushwa jana yako ni uadui , yeye aliita wapinzani wote genge la wahuni leo
Kachepukia kwa wahuni na amewakuta wamejizatiti kweli wanampa kubwa hiyo kumuita mlafi ni mwanzo tu akiendelea na unafiki ndiyo atawajua uhuni wao
nnakutakieni kila la heri ukiona hata mwanakijiji mtetezi wenu kaamua kukaa kimya ujue sasa mambo ni mazito
Chaha wangwe ni msaliti, Zitto ni msaliti, na sasa shibuda ni msaliti
chadema imekuwa kama giningi asemacho bi kirembwe hakipingwi na wala hasutwi
leo akisema hii nyeupe mseme ndio na akija kesho akakuulizeni rangi gani mkamjibu ni nyeupe kama alivyosema na akasema nyny wajinga hamuoni hii ni nyeusi museme ndio bi kirembwe tumekosea ni nyeusi
kuna tofauti gani ya mtoko wa dr slaa na Shibuda kwenda Chadema ?
hawa wote si walikua CCM na wote walitoka baada ya mchakato wa wagombea kuona hawajaridhika nao wakahama
au mmesahau? kwa hio na siku slaa akikosoa na yeye atakuwa msaliti
mwisho nnasema ya ngoswe ......
Gazeti la Mtanzania 13 December 2010 limemnukuu Shibuda akilalamika kuwa mbowe ni Dikteta na anawaburuza na anajenga makundi badala ya umoja ndani ya chama
"hali ilikwishachafuka, Mbowe anaendesha vikao kwa ubabe, kuhujumiana, kubomoana na kujenga makundi... ule ulikuwa mkutano wa uchaguzi wa wajumbe watano wa kamati kuu, lakini ukatanguliwa na hicho kikao cha kuvunjiana heshima, ilibidi nitoe jina langu" alisema Shibuda.
Shibuda kama ulikuwa hujui huyo ndio Mbowe.
Yote kwa yote hata mungu alipowaongoza wanadamu hawakuridhika wakaomba wateuliwe mfalme miongoni mwao hivyo ckulazimishi ukiri mbowe ni kiongozi wa kupigiwa mfano ila shibuda kimemtoa nini huko alipokuwa na kwa nini hakwenda kwenye democrasia ya kweli tlp udp cuf au nccr kama c aliangalia chama cha upinzani kilicho makini na chenye nguvu sasa anafikiri/anapata hayo yalifikiwa kwa uongozi legelegeHave you ever considered may be its your chairman who has a problem ?
Here is something small to chew for the day:
Ndio maana wengine sie hatujajiunga na chama hichi kwasababu hizi za undio mzee. Kulazimishana mitazamo kunapelekea kufanya maamuzi mengine yasiyo na msingi kabisa.nnakutakieni kila la heri ukiona hata mwanakijiji mtetezi wenu kaamua kukaa kimya ujue sasa mambo ni mazito
Chaha wangwe ni msaliti, Zitto ni msaliti, na sasa shibuda ni msaliti
chadema imekuwa kama giningi asemacho bi kirembwe hakipingwi na wala hasutwi
leo akisema hii nyeupe mseme ndio na akija kesho akakuulizeni rangi gani mkamjibu ni nyeupe kama alivyosema na akasema nyny wajinga hamuoni hii ni nyeusi museme ndio bi kirembwe tumekosea ni nyeusi
kuna tofauti gani ya mtoko wa dr slaa na Shibuda kwenda Chadema ?
hawa wote si walikua CCM na wote walitoka baada ya mchakato wa wagombea kuona hawajaridhika nao wakahama
au mmesahau? kwa hio na siku slaa akikosoa na yeye atakuwa msaliti
mwisho nnasema ya ngoswe ......