John Pombe Magufuli unatuchefua


Mwalimu wangu Kitila Mkumbo kwanza nakupa tano. Yani hapa umemaliza kila kitu. Wapuuzi wote ambao wamelewa sifa za Magufuli hawana tena hoja. Alafu hivi kwa nini Mkandala hakupi U-Professor? Au kwa vile anajua wewe ni mwana CDM? Nakupa tano tena my teacher! Baadae!

 
Huyu jamaa anafaa sana ila tatizo ni mfumo wa ccm
 
Rafiki yangu Mkumbo,

naona kama kuna ulazima wowote kukuchana kumbe niwe naenda taratibu kidomo kwani nimegundua punde tu kwamba kuna watoto wetu na humu ambao nao hawaishi kutekenya na kiu ya 'Tanzania Tunayoitamani'!

Na kwa uchanganuzi hapo chini ni kwamba hoja imetulia sana. Dr Maghufuli ni Waziri Mkuu zaidi kuliko kuwa Presidential material; lakini mpaka awe anajitokeza hadharani kukemea UFISADI, MAFISADI na kutetea Katiba ya Wananchi.


 
Huyu jamaa nilikuwa indifferent sana kwake lakini kadri siku sinavyokwenda nazidi kuamini Urais ni kazi kubwa sana kwake kama ana hiyo ndoto..

nadhani kuna wapambe wake wanataka kumsafishia jina. Wasahau about the project management guy who lacks ideas
 
Kwakweli kwa hali ilivyosasa wengi hatutamani raisi atokee ccm, hapa tulipo ni kwasaabu ya ccm so tunatamani kuona upande mwingine wa uongozi. si Lowasa wala Magufuli tumewachoka wote
 

Mimi huwa nawa-admire wazazi wa Magufuli,ni vichwa aisee!Jina la Pombe linasadifu kabisa tabia ya huyu robot!
 
Aendelee kupewa uwaziri tu, urais si rahisi kwake, hatumpi. Hafai!
 
Nimesoma maoni ya dr mkumbo. Dr magufuri ni mzuri wa kusimamia mirad na sio mzuri kuongoza.mifano hiko ming ila yeye ni bendera ufuata upepo. Ata magufuri akiaambiwa na kikwete kuwa 1+1=4 magufuri atasimamia uongo huu.atawakasifu wale wanaosema jibu ni 2. Magufuri ni sawa na samwel sita. Magufuri anapashwa awe waziri mkuu na rais awe hard working wa kumuamuru afanye ili na lile.kama anataka urais basi atoke ccm.kura yangu kuipata sio rahisi
 
 

kweli kabisa! Nyerere aliachiwa urais na wazungu. No struggles like those found in other african countries, like kenyata with his maumau in kenya.
 
FF mbona unamashambulia sana Nyerere? hii sijui ni post ya ngapi naona una divert mada za watu kuzipeleka kwa nyerere.si umafuate?
--mwinyi na JK ndio wameiharibu nchi
 
toka miaka ya 2000 nani alikuwa hajui kuwa jk atakuja kuwa rais? si ndio kupeana huku na sasa hivi wana mpango wa kumpa lowasa..wape magufuli apige watu bakora nchi inyooke..
 
Mimi huwa nawa-admire wazazi wa Magufuli,ni vichwa aisee!Jina la Pombe linasadifu kabisa tabia ya huyu robot!
huyu ndio kiongozii anayegawa majukumu ofisini na kuhitaji mrejesho mbele ya media, tena kwa madoido
 
Wewe ulieandika hii habari unatafuta laana za mwenyezi mungu mjaza neema ndogo ndogo na kubwa nene na fupi nyembamba na ndefu hakika usirudie tena mpwa
huyu kashaalaaanika sijui unatafuta laana gani mpwa
 
watajeni hao mnaotoa sifa zao kama mwenzenu mleta hoja sio mnazungukazunguka na kusema hafai
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…