John Pombe Magufuli unatuchefua

John Pombe Magufuli unatuchefua

Huyu Pombe simfagilii hata kidogo,
1. anapenda sifa za kijinga.
2. anapenda kufanyia kazi majungu anayopelekewa.
3. ni roboti.
4. hashauriki.
5. ni fisadi

nawasilisha.:lol::lol::lol::lol:
 
Hakuna mtu asiyekuwa na mapungu kama mwanadamu..huyu jamaa katika mawaziri wanaofanya kazi zinaonekana huyu ni number one..tuache habari za CCM na CDM,Tanzania bila nguvu ile nchi aiendi hata kidogo..

hasa upande wa miundombinu sababu kila kona kumeoza hakufai. Natamani kuona barabara za bongo ziko kama za Tokyo
Mpeni Hongera zake pale anapostaili na ushauri pale anapokosea.

Tatizo lake ni pale anapotumia Majukwaa ya Serikali kuponda Upinzani. Magufuli ni Mpuuzi sana! Hafai hata kuwa Mwenyekiti wa Kijiji. Ni bahati mbaya sana mfumo wa CCM umemfikisha hapo alipofika.

Magufuli the Great songa mbele usivisikilize hivi visisimizi! Vimekereka kwa sababu umeviponda endelea kuvipa live, vinataka kusifiwa tu bila kukosolewa. Usirudi nyuma tupo wengi sana tunaokuunga mkono. Vibaraka wa chache tena with no adress ndo vinaleta maneno ya maliwatoni. Wachambishe hao wataisoma namba.
Hii TABIA ya kudharau WATU na kuwaita "sisimizi" ni mbaya. Hivi uliyaona yaliyomkuta Gadafi kwa sababu ya dharau za namna hii? Aliingizwa mti kwenye njia ya kutolea haja kubwa. Kuwamwangalifu.
 
Huyu jamaa watu wameshamchoka hata yeye analijua hilo ndo maana analopoka ovyo.Kwanza alishawahi kumuuzia nyumba ya serikali mdogo wake aliyekuwa mwanafunzi wa chuo kikuu kwa wakati huo.Huyo ni fisadi wa first class mwacheni alopoke maana hasomi alama za nyakati.Mawazo yake bado yako kwenye miaka ya 1990.

Maghufuli ni mtu asiyefaa kabisa uongozi. Ni mbinafsi wa kutupa na ana upendeleo wa waziwazi kwa ndugu na jamaa zake kama alivyodhihirisha wakati wa uuzaji haramu wa nyumba za serikali alipojiuzia makumi ya nyumba na kuwauzia ndugu jamaa na vimada wake nyumba hizo kwa bei ya kutupa! Hana tolerance (Uvumilivu) kwa wenye mawazo tofauti naye kama nilivyodhihirisha mimi mwenyewe katika moja ya hotuba zake jimboni kwake aliyoitoa hadharani akiahidi waziwazi kulipiza kisasi kwa wananchi wanaoishi kwenye maeneo yaliyochagua wenyeviti na madiwani wa upinzani (CHADEMA). Mimi si mkazi wa Chatto lakini nina maslahi yangu kule na nilimshangaa na kuwashangaa wananchi kwa kutomchukulia hatua kwa uhalifu ule. Katika mkutano ule wa hadhara baada ya uchaguzi wa 2010 aliahidi kuweka X nyumba hata zilizo mbali na barabara na aliahidi kutokamilisha mradi wa umeme uliokuwa umeshaanza kata ya Mganza! Naamini baadhi ya wakazi walioshuhudia mkutano wa kishenzi ule ni wanajamvi na watathibitisha hilo. Je huyu akipewa urais si anaweza kuamuru mkoa mzima uteketezwe kwa sababu tu haukumpigia kura? La kushangaza ni kwamba nguvu za umma zimemsonga bila ya kuhofu vitisho vyake na ninapoandika hata kaya yake iko chini ya mwenyekiti wa CHADEMA. Peoples...............!!!!!!
 
thas y the guy is overly obsessed with cdm. Kumbe kila pande wamemzunguka? Ni bahati tu kuwa alikuwa waziri kipindi hicho na kwa mgongo wa uwaziri wakachakachua matokeo
 
Acheni ushabiki wa kijinga huo,mtu akiponda chadema tu mnamchukia na kumuundia zengwe....mbona ninyi huwa mnaponda magamba lakini hakuna mtu anayewaona kama ni hopeless

Baseless..........................
Try again later
 
Mwanzoni tulijua kuwa wewe ni mtu makini kume tumekosea. Nadhani hata wanaokutumikisha wanajua kuwa wewe si makini na ndio maana wanakuwekea spidi gavana na kukuambia uache ubabe. Mwanzoni nilidhani wamekuonea kumbe walikuwa sahihi. Upo kama roboti. Nimegundua hili kutokana na matamshi na kauli zako. Barabara zote nchini unazijua wewe. Vifungu vyote vya sheria umevikariri wewe. Hizo sheria ni kwa ajili ya binadamu lakini wao/sisi sio programmed kama wewe.

Juzi hapa mkizindua barabara pale Dodoma, Pinda alikupiga dongo kuwa Rais alikupeleka uvuvi, na kule unajua idadi ya samaki nchini. Rais akaona bora akurudishe ujenzi. Tatizo lako mkuu unamtumikia kafiri kupitiliza, hadi unampa kero.

Wewe ni mchapakazi sawa, lakini yawezekana huna maadili ya kazi. Hakuna mtanzania anayekuwazia urais. Wanakuwazia uwaziri tu kwa kuwa watanzania wanajua unajua kutumika.

Achana kabisa na siasa zako za maji taka. Sio kila unapotoa neno hadharani usifie chama chako na kuponda upinzani. Kwa taarifa yako, unaowahutubia ni wapinzani. Sasa unapoponda viongozi wao na harakati za upinzani, wanakuchukia kweli. Wanakuoanisha na majina yako.

Tatizo lako mkuu unatupa mawe hovyo kiasi cha kuwatwanga na wazazi wako pia. Nakufananisha na Abunuwasi kukata tawi ulilokalia. Hilo tawi ni wananchi. Mpita njia akikuambia kuwa unafanya kosa kwani utaanguka, unamkejeli. Utakapoanguka utamkimbilia aliyekuambia ukweli kumwomba utabiri zaidi, angalia asijekwambia utakufa lini.

Achana na upinzani kwani ni jeshi kubwa kwa sasa. Una kashfa nyingi tu tunazozifahamu na nyingine zitafahamika. Una kashfa ya kuuza nyumba za serikali. Una kashfa za kumpa kimada wako nyumba ya serikali. Una kashfa ya kunyanyasa staff wako kwa kuletewa majungu na wapambe wako. Una kashfa ya ubabe, n.k, n.k. Fanya kazi, kiongozi kwani huijui kesho. Kazi ya kubwabwaja mwachue nape. Kaajiriwa kwa kazi hiyo. We kazi yako miundombinu. Usiwe kama mzazi anayewapa wanae mahitaji kwa masimango. Wenzako umeshwasikia wanabwabwaja hovyo? Time will tell

Dah napita tu manake jamaa sasa hivi wanafyatuka sijui kama atapona mtu!
 
Kuna siku atakuja kubamizwa makofi mbele ya umma anamdomo mchafu anatukana upinzani lakini hata watu waliochini yake huyu ni mtu ovyo ovyo kabisa anajikweza kupita kiasi arudishe nyumba za serikali alizouzia vimada na ndugu zake kwanza
 
Waziri ni mwanasiasa na huchaguliwa kupitia jimbo lake kisiasa zaidi kabla hata hajajuwa kuwa atapewa uwaziri. Ni haki yake kubwabwaja, hicho ndicho kikubwa kwa wanasiasa wote. Kuna mwana siasa asiye bwabwaja?

kuna katuni moja ya magufuli iliyochorwa na kipanya ikimuonyesha magufuli anaongea na mwisho wa siku maneno hayaeleweki anaongea nini. I wish ningejua ni mwananchi la lini ili tuiweke hiyo katuni hapa. Kama mwaka jana hivi. Na ile ndio maana ya kubwabwaja
 
Ni kweli jamaa anajua ku - push kazi na matokeo yake huwa yanaonekana mara kibao ila tatizo lake ana External Locus of Control nikimaanisha kwamba yaani siku zote ukimsikiliza yeye HANAGA kosa! Wanaokosea ni wengine tu na hufikia hatua ya kuwadhalilisha watendaji walio chini yake hata kwa sababu zisizokuwa na mantiki yoyote licha ya kwamba angeweza kuwaagiza waende ofisini kwake ambako hata kama angewatukana asubuhi mpaka jioni no body would have known it! Kwa staili hii ana tofauti gani na wale nguruwe (wakoloni) waliokuwa wakiwachapa viboko babu zetu hadharani?
 
Naona sasa bwana magufuli kawachefua wakazi wa Kigamboni. kwenye Nipashe wabunge wa Dar wameamua kumshukia. habari kamili kesho Nipashe. Magufuli fanya utafiti kidogo kabla ya kutoa matamshi yako. Eti wanakigaboni wakitaka wapige mbizi. Huku ndio kubwabwaja na kutoa kauli za kibabe. kwa mantiki hii wananchi hawatakupenda kamwe. kwa bahati mbaya magufuli hajui decision making.
 
thas y the guy is overly obsessed with cdm. Kumbe kila pande wamemzunguka? Ni bahati tu kuwa alikuwa waziri kipindi hicho na kwa mgongo wa uwaziri wakachakachua matokeo

pesa walizotumia kwenye uchakachuaji ni nyingi na sasa zinagharimu matumizi ya serikali na huduma kwa jamii.
 
Mwanzoni tulijua kuwa wewe ni mtu makini kume tumekosea. Nadhani hata wanaokutumikisha wanajua kuwa wewe si makini na ndio maana wanakuwekea spidi gavana na kukuambia uache ubabe. Mwanzoni nilidhani wamekuonea kumbe walikuwa sahihi. Upo kama roboti. Nimegundua hili kutokana na matamshi na kauli zako. Barabara zote nchini unazijua wewe. Vifungu vyote vya sheria umevikariri wewe. Hizo sheria ni kwa ajili ya binadamu lakini wao/sisi sio programmed kama wewe.

Juzi hapa mkizindua barabara pale Dodoma, Pinda alikupiga dongo kuwa Rais alikupeleka uvuvi, na kule unajua idadi ya samaki nchini. Rais akaona bora akurudishe ujenzi. Tatizo lako mkuu unamtumikia ------ kupitiliza, hadi unampa kero.

Wewe ni mchapakazi sawa, lakini yawezekana huna maadili ya kazi. Hakuna mtanzania anayekuwazia urais. Wanakuwazia uwaziri tu kwa kuwa watanzania wanajua unajua kutumika.

Achana kabisa na siasa zako za maji taka. Sio kila unapotoa neno hadharani usifie chama chako na kuponda upinzani. Kwa taarifa yako, unaowahutubia ni wapinzani. Sasa unapoponda viongozi wao na harakati za upinzani, wanakuchukia kweli. Wanakuoanisha na majina yako.

Tatizo lako mkuu unatupa mawe hovyo kiasi cha kuwatwanga na wazazi wako pia. Nakufananisha na Abunuwasi kukata tawi ulilokalia. Hilo tawi ni wananchi. Mpita njia akikuambia kuwa unafanya kosa kwani utaanguka, unamkejeli. Utakapoanguka utamkimbilia aliyekuambia ukweli kumwomba utabiri zaidi, angalia asijekwambia utakufa lini.

Achana na upinzani kwani ni jeshi kubwa kwa sasa. Una kashfa nyingi tu tunazozifahamu na nyingine zitafahamika. Una kashfa ya kuuza nyumba za serikali. Una kashfa za kumpa kimada wako nyumba ya serikali. Una kashfa ya kunyanyasa staff wako kwa kuletewa majungu na wapambe wako. Una kashfa ya ubabe, n.k, n.k. Fanya kazi, kiongozi kwani huijui kesho. Kazi ya kubwabwaja mwachue nape. Kaajiriwa kwa kazi hiyo. We kazi yako miundombinu. Usiwe kama mzazi anayewapa wanae mahitaji kwa masimango. Wenzako umeshwasikia wanabwabwaja hovyo? Time will tell

Pombe Hafai Kuwa Hata Katibu Kata Kwani ni Muhasherati Kupindukia.
 
thas y the guy is overly obsessed with cdm. Kumbe kila pande wamemzunguka? Ni bahati tu kuwa alikuwa waziri kipindi hicho na kwa mgongo wa uwaziri wakachakachua matokeo

Pombe Hafai Kuwa Hata Katibu Kata Kwani ni Muhasherati Kupindukia.

Huyu Pombe simfagilii hata kidogo,
1. anapenda sifa za kijinga.
2. anapenda kufanyia kazi majungu anayopelekewa.
3. ni roboti.
4. hashauriki.
5. ni fisadi

nawasilisha.:lol::lol::lol::lol:

Mlete baba yako kama ataweza kazi za Magufuli kila MTU NA KIPAJI CHAKE
 
Hii ni kweli kabisa.Leo Lindi pamoja na kuwakusanya wanaccm kwa malori.Alipoanza kumsema Lowasa tu,watu kimyaaa hawakushangilia tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom