John Pombe Magufuli ni Rais bora Afrika

Binti Msichana

Senior Member
Oct 9, 2016
109
247
Kwa muda mrefu haijawahi tokea katika Afrika kupatikana rais mwenye kuguswa na matatizo ya wananchi masikini kama rais wetu, John Pombe Magufuli.

Katika enzi za kupigania Uhuru Afrika palikuwa na wazalendo kama Mwl.Julius Nyerere , Patrick Lumumba, Kwame Nkuruma na wengine wengi.Wapigania Uhuru hawa walikuwa na moyo wa kizalendo wa hali ya juu katika nchi zao.

Wazalendo hawa walijitoa muhanga wa maisha yao kwa faida ya nchi zao na vizazi kwa vizazi.

Miaka ya sasa wazalendo kama hawa wako wachache sana.Libya alikuwepo Gaddafi, na Tanzania yupo rais John Pombe Magufuli.

Rais JPM amejitoa katika kuwatumikia wananchi maskini Tanzania.Hapati usingizi akiwafikiria kuwakomboa wananchi maskini.

Juhudi zake za kupinga rushwa, ufisadi na uwajibikaji wa viongozi ni kielelezo tosha rais huyu ana uzalendo uliotukuka.

Wananchi wa Tanzania wanabahati kubwa ya kumpata kiongozi huyu mwenye UCHUNGU na nchi.
 
katika historia ya nchii hajawahi kutokea Rais mwenye upendo \na aliyweza kuwaunganisha raia kama huyu wa sasa.kwa mara ya kwanza Tanzania Raia hawanyanyaswi sababu ya itikadi ya vyama vyao,upendo na mshikamano umetamalaki kila kona,Big up mheshimiwa Magufuli haitakaa itokee Rais kama wewe pia hongera kwaq kuboresha maisha ya Mtanzania wa kawaida,elimu bure,ndege,flyovers,madawa hospitali na gharama za maisha zipo chini,the best president in Africa
 
makofi kwa rais wetu jamani
 
Ni kweli kabisa ndio maana hateui makada wa chama chake kama maandalizi ya kuiba kura.
Na best kabisa ni rais ambaye pamoja na gharama zote zilizotumika kwa ajiri katiba mpya lakini kwake si kipaumbele, ila yeye na wakujari rambirambi za wafiwa ili zijenge miundombinu.
 
katika historia ya nchii hajawahi kutokea Rais mwenye upendo \na aliyweza kuwaunganisha raia kama huyu wa sasa.kwa mara ya kwanza Tanzania Raia hawanyanyaswi sababu ya itikadi ya vyama vyao,upendo na mshikamano umetamalaki kila kona,Big up mheshimiwa Magufuli haitakaa itokee Rais kama wewe pia hongera kwaq kuboresha maisha ya Mtanzania wa kawaida,elimu bure,ndege,flyovers,madawa hospitali na gharama za maisha zipo chini,the best president in Africa

Ndiyo maana viwete wanapigwa na kuburuzwa, haki vile haijawahi kutokea kwenye historia ya Tanzania
 
Back
Top Bottom