John Pombe Magufuli ni Rais bora Afrika

John Pombe Magufuli ni Rais bora Afrika

katika historia ya nchii hajawahi kutokea Rais mwenye upendo \na aliyweza kuwaunganisha raia kama huyu wa sasa.kwa mara ya kwanza Tanzania Raia hawanyanyaswi sababu ya itikadi ya vyama vyao,upendo na mshikamano umetamalaki kila kona,Big up mheshimiwa Magufuli haitakaa itokee Rais kama wewe pia hongera kwaq kuboresha maisha ya Mtanzania wa kawaida,elimu bure,ndege,flyovers,madawa hospitali na gharama za maisha zipo chini,the best president in Africa
Una maanisha kweli!
 
Tanzania bila upinzani inawezekana.
Tulieni kama mnanyolewa mtuone tunavyojenga nchi na mambo yananyooka.
Muda wa kufanya marekebisho ya katiba ukifika itabadilisha lakini sio kwa presure zenu za social media BIG NO.
Mmeishiwa pumzi hata la kuzungumza siku hizi hamna mmebaki mnaombea tu dua la kuku limpate mwewe wakati haiwezekani.
Poleni sana wakuu
Kwani katiba mpya ni kwa manufaa ya wapinzani au wananchi???? Sasa hayo maendeleo kwani na sisi wapinzani hayatatunufaisha??? Eti bila upinzani inawezekana yaani uingereza na marekani na maendeleo yote yale bado upinzani upo afu nyie mnachoita kujenga nchi ndio upinzani ufutwe??

Mkuu wangu kma umepita shule naamini ulisoma civics je hujui mpaka leo umuhim wa upinzani kwenye nchi kiasi kwamba mnafanya kazi kuukomoa upinzani??? Kwani wapinzani hawataki mjenge nchi au labda chama tawala ndio ina hatimiliki ya kuongoza tanzania???

Yaani watanzania ndio tunafikiria hivi??? Eti katiba sio kipaumbele mpaka ijengwe??? Afu kabudi na polepole walioongoza vita na wenyewe wamesupport

Dah aliyetulaani watanzania nahisi amekufa, na ndio maana tunaishi chini ya dolla mbili kwa siku 3!!!!
 
Mimi ninachofanya kumuombea Mungu kila siku JPM,asije kumbana na Shetani tu,akambadilisha,amuongezee busara,moyo wa ujasiri na kuthubutu na kumpa afya njema na ulinzi wa KIMUNGU...AMEFANYA MAMBO YA ZAIDI YA MIAKA 50 kwa kipindi hiki kifupi,
-NDEGE MPYA na STANDARD GAUGE YA UMEME(toka nchi imeanza )
-WIZI WA MAFUTA BANDARINI NA KUONGEZA UFANISI.
-KUDHIBITI WEZI SERIKALINI(wafanyakazi hewa ilikuwa sio jipu bali tambazi,na umeng'oa mzizi wake)
-KUKUSANYA KODI NA KUSIMAMIA MATUMIZI(hapa nakupa big 5,koz tunasikia raha hata kulipa kodi)
-KUTOA MAJIBU YA PAPO HAPO YA KERO ZA WANANCHI(hii umefanya hata viongozi wengine kuamka ingawa una viongozi mizigo wengi)
-KUTUMBUA(hapa unatukuna sana- kama ACACIA,IPTL .....)
-KUJALI WANANCHI KIAFYA KWA KULIPIA DAWA ZA KUZUIA MAAMBUKIZI YA MALARIA(hii project ni muhimu sana ambayo niliifanya miaka 15+ iliyopita nikakwamishwa kuitekeleza hapa umelamba dume)
-KUBOREHA MIJI NA TANZANIA KWA UJUMLA.
-KUPUNGUZA GHARAMA ZA MATUMIZI YA SERIKALI(safari za nje na kulipana vikao/semina/makongamano yasiyo na msingi,kisa budget imezidi!)
-Kwa muendelezo huu hata wale wa upande wa pembeni watakosa cha kusema na mimi natabiri kimbunga kitarudi nyumbani ila tambua tuwe makini na misafara ya kenge wengine wasituletee uozo ili kuja kutuchafua kwa makusudi!
 
Niliposoma hiyo kichwa ya habari nikadhani kuna research ya nguvu imefanywa tena na mtu ambaye sio Mtanzania. Kumbe ni mbwembwe za waanzisha mapambio ya sifa.
 
Kwani katiba mpya ni kwa manufaa ya wapinzani au wananchi???? Sasa hayo maendeleo kwani na sisi wapinzani hayatatunufaisha??? Eti bila upinzani inawezekana yaani uingereza na marekani na maendeleo yote yale bado upinzani upo afu nyie mnachoita kujenga nchi ndio upinzani ufutwe??

Mkuu wangu kma umepita shule naamini ulisoma civics je hujui mpaka leo umuhim wa upinzani kwenye nchi kiasi kwamba mnafanya kazi kuukomoa upinzani??? Kwani wapinzani hawataki mjenge nchi au labda chama tawala ndio ina hatimiliki ya kuongoza tanzania???

Yaani watanzania ndio tunafikiria hivi??? Eti katiba sio kipaumbele mpaka ijengwe??? Afu kabudi na polepole walioongoza vita na wenyewe wamesupport

Dah aliyetulaani watanzania nahisi amekufa, na ndio maana tunaishi chini ya dolla mbili kwa siku 3!!!!

Kama kuna jambo linamwangusha kabisa JPM basi ni hili suala alilolianzisha la vita dhidi ya vyama vya upinzani. Hakuna anayefahamu chanzo cha mtazamo huu hasi katika akili ya mheshimiwa huyu ila ni dhahiri kabisa kadhamiria kuufuta kabisa upinzani tena kwa vitendo viovu kuliko hata vile vya Intarahamwe. Ni desturi ya CCM kuwafanya wanachama wake kuwa washangiliaji wa Rais lakini inapokuja hali kuwa ngumu unakuta wanakosa majibu. Mfumo wa vyama vingi umeleta manufaa mengi ambayo hata wanaoushambulia sasa bado wananufaika nao kuliko mfumo wa chama kimoja lakini ni vigumu kwa mtu asiye na ufahamu wa kutosha kulitambua hilo. Ndio maana kipaumbele nchi hii kinatakiwa kuwa Elimu. Elimu. Elimu. Elimu...Mengine yote yatakaa sawa automatically.
 
Dada yangu popote ulipo kunywa bia nakuja kulipa JPM raisi bora afrika
 
Uzi nzuri sana na ni wenye hekima angalau tegemea matusi toka kwa kikundi fulani cha kihuni. Mungu azidi kumpa afya mh. Rais JPM
 
Dada yangu popote ulipo kunywa bia nakuja kulipa JPM raisi bora afrika
Sababu anaongoza nchi wanaosurvive kwa dollar 2 ndani ya cku 3???

Embu msijitie upofu watu kma kina kagame wameiotoa nchi vitani ikiwa na madeni matrilion leo hii mpaka uchumi umesimama hta kuzidi nchi zenye amani ndio mje mumlinganishe na huyu ambaye nchi ina kila kitu ila bajeti bado haitekelezeki

Shame on u
 
Uzi nzuri sana na ni wenye hekima angalau tegemea matusi toka kwa kikundi fulani cha kihuni. Mungu azidi kumpa afya mh. Rais JPM
Mkuu hata kma kafanya kazi kubwa sana hasa utumbuaji wa maigizo na mengineyo naamini kamzidi aliyemtangulia ila bado hajafika level hta za kuwa top east africa..... tusiexaggerate mambo jamani kagame mnamuacha wapi ambaye kawazidi kila kitu ingawa hana rasilimali
 
Na Gaddafi yumo? Unawapendaje watu wako kwa kug'ang'ania madarakani ka mfalme... hayupo na Libya haipo.... sasa umeipendaje hiyo nchi.... Yes kuna mazuri mengi kafanya lakini ku overstay kwake kumeua Libya na ni uchu wa madaraka wake ndo umeifikisha Libya hapo..
 
Sababu anaongoza nchi wanaosurvive kwa dollar 2 ndani ya cku 3???

Embu msijitie upofu watu kma kina kagame wameiotoa nchi vitani ikiwa na madeni matrilion leo hii mpaka uchumi umesimama hta kuzidi nchi zenye amani ndio mje mumlinganishe na huyu ambaye nchi ina kila kitu ila bajeti bado haitekelezeki

Shame on u
Mkuu ametekeleza kwa 30% ... shule yeyote 30% ni failures....
 
katika historia ya nchii hajawahi kutokea Rais mwenye upendo \na aliyweza kuwaunganisha raia kama huyu wa sasa.kwa mara ya kwanza Tanzania Raia hawanyanyaswi sababu ya itikadi ya vyama vyao,upendo na mshikamano umetamalaki kila kona,Big up mheshimiwa Magufuli haitakaa itokee Rais kama wewe pia hongera kwaq kuboresha maisha ya Mtanzania wa kawaida,elimu bure,ndege,flyovers,madawa hospitali na gharama za maisha zipo chini,the best president in Africa
nikweli hawanyanyaswi ila wanawekwe kizuizini huku wakipewa magodoro na pepsi bariidii! Harafu na bei za vyakula zimeshuuka jinsi anavyowajari wanyonge!
 
Mkuu hata kma kafanya kazi kubwa sana hasa utumbuaji wa maigizo na mengineyo naamini kamzidi aliyemtangulia ila bado hajafika level hta za kuwa top east africa..... tusiexaggerate mambo jamani kagame mnamuacha wapi ambaye kawazidi kila kitu ingawa hana rasilimali
Kagame yupo madarakani muda gani na JPM yuko pale muda gani? Tatizo wapo watu ambao wanaombea siku zote raisi wetu ashindwe kabisa katika kila upande, angalau sijajua wao kama wao watanufaika na nini.
 
Ndio sasa magufuli ataweza kuwa best ila sio sasa mbona hamuelewi wwe huwezi ukasema magufuli ni the best wakati bado mnajua ameanza tu si msubiri mseme hivo 2020 mkifanya analysis ya miaka yake mitano sio mnasifia hivo wakati mnajua kabisa nchi yetu bado ni 30 kwa umaskini duniani!!!

Tuweni serious
 
Kwa muda mrefu haijawahi tokea katika Afrika kupatikana rais mwenye kuguswa na matatizo ya wananchi masikini kama rais wetu, John Pombe Magufuli.

Katika enzi za kupigania Uhuru Afrika palikuwa na wazalendo kama Mwl.Julius Nyerere , Patrick Lumumba, Kwame Nkuruma na wengine wengi.Wapigania Uhuru hawa walikuwa na moyo wa kizalendo wa hali ya juu katika nchi zao.

Wazalendo hawa walijitoa muhanga wa maisha yao kwa faida ya nchi zao na vizazi kwa vizazi.

Miaka ya sasa wazalendo kama hawa wako wachache sana.Libya alikuwepo Gaddafi, na Tanzania yupo rais John Pombe Magufuli.

Rais JPM amejitoa katika kuwatumikia wananchi maskini Tanzania.Hapati usingizi akiwafikiria kuwakomboa wananchi maskini.

Juhudi zake za kupinga rushwa, ufisadi na uwajibikaji wa viongozi ni kielelezo tosha rais huyu ana uzalendo uliotukuka.

Wananchi wa Tanzania wanabahati kubwa ya kumpata kiongozi huyu mwenye UCHUNGU na nchi.
Tundu Lisi akikusikia !!!!
 
Back
Top Bottom