herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,155
- 4,744
Haya kachukue buku 7 yako ya eid maisha yaendelee.....
Pole Pole nenda kajifunze Siasa.Kwa muda mrefu haijawahi tokea katika Afrika kupatikana rais mwenye kuguswa na matatizo ya wananchi masikini kama rais wetu, John Pombe Magufuli.
Katika enzi za kupigania Uhuru Afrika palikuwa na wazalendo kama Mwl.Julius Nyerere , Patrick Lumumba, Kwame Nkuruma na wengine wengi.Wapigania Uhuru hawa walikuwa na moyo wa kizalendo wa hali ya juu katika nchi zao.
Wazalendo hawa walijitoa muhanga wa maisha yao kwa faida ya nchi zao na vizazi kwa vizazi.
Miaka ya sasa wazalendo kama hawa wako wachache sana.Libya alikuwepo Gaddafi, na Tanzania yupo rais John Pombe Magufuli.
Rais JPM amejitoa katika kuwatumikia wananchi maskini Tanzania.Hapati usingizi akiwafikiria kuwakomboa wananchi maskini.
Juhudi zake za kupinga rushwa, ufisadi na uwajibikaji wa viongozi ni kielelezo tosha rais huyu ana uzalendo uliotukuka.
Wananchi wa Tanzania wanabahati kubwa ya kumpata kiongozi huyu mwenye UCHUNGU na nchi.
Naziona sana kama vijana kukosa ajira..madawa hosptal hakuna..maendeleo zeroo kabsa kutumbua wenye vyet fej nakumuacha bashite ambaye hata chet fake hana..kujeng uwanja wa ndege chato na kuweka taa za barabaran ili ztumiwe na punda maana punda ndo weng pale chatoKwani kazi anazofanya huzioni? Tusiwe wizi WA fadhila na si vizuri kubeza juhudi zake hata kama kwako unaona Ni ndogo