John Pombe Magufuli ni Rais bora Afrika

John Pombe Magufuli ni Rais bora Afrika

Kwa muda mrefu haijawahi tokea katika Afrika kupatikana rais mwenye kuguswa na matatizo ya wananchi masikini kama rais wetu, John Pombe Magufuli.

Katika enzi za kupigania Uhuru Afrika palikuwa na wazalendo kama Mwl.Julius Nyerere , Patrick Lumumba, Kwame Nkuruma na wengine wengi.Wapigania Uhuru hawa walikuwa na moyo wa kizalendo wa hali ya juu katika nchi zao.

Wazalendo hawa walijitoa muhanga wa maisha yao kwa faida ya nchi zao na vizazi kwa vizazi.

Miaka ya sasa wazalendo kama hawa wako wachache sana.Libya alikuwepo Gaddafi, na Tanzania yupo rais John Pombe Magufuli.

Rais JPM amejitoa katika kuwatumikia wananchi maskini Tanzania.Hapati usingizi akiwafikiria kuwakomboa wananchi maskini.

Juhudi zake za kupinga rushwa, ufisadi na uwajibikaji wa viongozi ni kielelezo tosha rais huyu ana uzalendo uliotukuka.

Wananchi wa Tanzania wanabahati kubwa ya kumpata kiongozi huyu mwenye UCHUNGU na nchi.
Tunampenda na tutamchagua tena.
 
Best president in Africa??? Khaaa unaweza kuwa unaona anajitahidi ila mkuu sio level za kuwa best in africa!! Maana bado changamoto ni nyingi sana

Naamini he can be the best kma akijifunza uongozi pia akijua kupangilia vipaumbele na kusikiliza ushauri hapo ataiva
Umempa ushauri akakataa?huyu sio kikwete aliyekuwa akipokea ushauri wa magazeti.alafu ujue Rais ana washauri wake,sio kila nyumbu ni mshauri wa Rais.
 
Unamuongelea huyu aliyesoma katika utawala wake serikali haiwezi kusomesha wazazi akimaanisha wasichana waliopata ujauzito wakiwa bado wanafunzi???
 
Umempa ushauri akakataa?huyu sio kikwete aliyekuwa akipokea ushauri wa magazeti.alafu ujue Rais ana washauri wake,sio kila nyumbu ni mshauri wa Rais.
We naye akili zako zikoje kwani urais kapewa na washauri au wananchi?? Unajua maana ya demokrasia na serikali ya wananchi au ndio mnafkiri mwenyekiti wa chama ni mungu mtu!!!!!

Ameshauriwa sana mfano vipaumbele ila lenyewe linakazania vipaumbele visivyo na maana kabisa ssa viwanda bila umeme maje kilimo na elimu tutafika kweli sasa yye anaenda kujenga airport kijijini kwake mara bombardier kwani kinamshinda nni kusacrifice kila kitu tuanze na viwanda nchi istabilise ndio mareli na mandege yaletwe!!!!! Maana sidhani kma usafiri ni changamoto tanzania

Hayo ameshauriwa sana bungeni ila haliskii kabisa..... pia bajeti hewa kaambiwa alete bajeti ndogo inayotekelezeka bado libishi tu sasa anakuwaje kiongozi bora africa??? Serikali imewekwa na watu hivyo wana haki yakuskilizwa ssa bunge linatoka povu yye hata hayamuhusu afu nchi ikifeli oooh hatulipi kodi sijui wavivu

Kwakweli naamini magufuli ni mtendaji mzuri ila uongozi bado sana ila akijirekebisha kwenye hayo maeneo matatu ndio afikiriwe kuwa rais bora hapa Tanzania kwanza
 
Hivi unajua kati ya milioni 50 za watu was Tanzania, wanaotaka na kujua umuhimu was katiba mpya hawazidi laki 5!?. Haija fika wakati ambapo watu wengi wakaona kuna kupewa kipaumbele katiba mpya kuliko mambo mengine.
Kwahyo kwakuwa hawaoni umuhim basi ndio msibadilishe katiba??? Kwani tume ya warioba si ilishauri muelimishe watanzania kwanza kuhusu katiba iliopo kabla ya kuwaletea mpya au ujinga wetu ndio mtaji wenu???

Katiba mpya ni muhim kwa taifa letu whether wananchi wengi hawajui hilo or not so msipindishe mambo maana hta nkikwambia hao laki tano umewatoa wapi huna jibu unasahau tume ya warioba ilipata audience ya zaidi ya milion 10 walipozunguka nchi nzima kuinadi kazi yao
 
Kwa muda mrefu haijawahi tokea katika Afrika kupatikana rais mwenye kuguswa na matatizo ya wananchi masikini kama rais wetu, John Pombe Magufuli.

Katika enzi za kupigania Uhuru Afrika palikuwa na wazalendo kama Mwl.Julius Nyerere , Patrick Lumumba, Kwame Nkuruma na wengine wengi.Wapigania Uhuru hawa walikuwa na moyo wa kizalendo wa hali ya juu katika nchi zao.

Wazalendo hawa walijitoa muhanga wa maisha yao kwa faida ya nchi zao na vizazi kwa vizazi.

Miaka ya sasa wazalendo kama hawa wako wachache sana.Libya alikuwepo Gaddafi, na Tanzania yupo rais John Pombe Magufuli.

Rais JPM amejitoa katika kuwatumikia wananchi maskini Tanzania.Hapati usingizi akiwafikiria kuwakomboa wananchi maskini.

Juhudi zake za kupinga rushwa, ufisadi na uwajibikaji wa viongozi ni kielelezo tosha rais huyu ana uzalendo uliotukuka.

Wananchi wa Tanzania wanabahati kubwa ya kumpata kiongozi huyu mwenye UCHUNGU na nchi.
umefanya haraka kukurupuka na kutoa bango lako hili...
ngoma bado mbichi we unapakuwa... subiri kiive ndo upakuwe
 
watanzania ambao sio wapinzani uchwara.

Akimaliza 10 tunamuongezea.
Basi sawa mumuongezee tu muendelee kuzuia makinikia hku dhahabu inasafirishwa kma kawa

Muendelee kuaminishwa viwanda huku kilimo elimu shilingi uchumi maji bandari ziko ICU

Na kwa akili zako unafkiri mtu mmoja anaweza kuleta mabadiliko hujui serikali ni collective yaani badala uwaze katiba iliyinyooka ili rais hta akija dhaifu mambo yaende wwe unaweka hopes kwa mwanadam ambaye leo au kesho hayupo kwenye nguvu au akili ile ile

Mkuu kma haya mawazo yako ndio watanzania wote wanafkiria hivi bas tuendelee kuwa nchi ya 8 kwa uwezo mdogo zaidi wa kufkiria duniani bila kusaha nchi ya 30 kwa umaskini duniani
 
Waswahili wanamssmo MGEMA AKISIFIWA TEMBO HULITIA MAJI!!!!!!
CCM endeleeni kumsifia Magu kwa upuuzi anaofanya matokeo yake ni 2020!!!

















,
 
Basi sawa mumuongezee tu muendelee kuzuia makinikia hku dhahabu inasafirishwa kma kawa

Muendelee kuaminishwa viwanda huku kilimo elimu shilingi uchumi maji bandari ziko ICU

Na kwa akili zako unafkiri mtu mmoja anaweza kuleta mabadiliko hujui serikali ni collective yaani badala uwaze katiba iliyinyooka ili rais hta akija dhaifu mambo yaende wwe unaweka hopes kwa mwanadam ambaye leo au kesho hayupo kwenye nguvu au akili ile ile

Mkuu kma haya mawazo yako ndio watanzania wote wanafkiria hivi bas tuendelee kuwa nchi ya 8 kwa uwezo mdogo zaidi wa kufkiria duniani bila kusaha nchi ya 30 kwa umaskini duniani
Tanzania bila upinzani inawezekana.
Tulieni kama mnanyolewa mtuone tunavyojenga nchi na mambo yananyooka.
Muda wa kufanya marekebisho ya katiba ukifika itabadilisha lakini sio kwa presure zenu za social media BIG NO.
Mmeishiwa pumzi hata la kuzungumza siku hizi hamna mmebaki mnaombea tu dua la kuku limpate mwewe wakati haiwezekani.
Poleni sana wakuu
 
Rais bora afrika.....
Umemlinganisha na nani kiongozi? Na Nkurunzinza ama PK?
 
Muda wote anaongea kwa hisia kama anamaanisha kweli sina hakina na hilo...kwa uwezo wake anajitahidi ingawaje sio mzalendo kama anavyoimbwa na hana upendo na wananchi wake kabisa...
 
dfb12601358c8b7307ee8f66c22cfa26.jpg
Huku ndiko kufukua makaburi.
Ila kwa bahati mbaya hakuna maiti.
 
Muda wote anaongea kwa hisia kama anamaanisha kweli sina hakina na hilo...kwa uwezo wake anajitahidi ingawaje sio mzalendo kama anavyoimbwa na hana upendo na wananchi wake kabisa...
 
Kukandamiza demokraisia (uhuru wa kujieleza)
Kwa muda mrefu haijawahi tokea katika Afrika kupatikana rais mwenye kuguswa na matatizo ya wananchi masikini kama rais wetu, John Pombe Magufuli.

Katika enzi za kupigania Uhuru Afrika palikuwa na wazalendo kama Mwl.Julius Nyerere , Patrick Lumumba, Kwame Nkuruma na wengine wengi.Wapigania Uhuru hawa walikuwa na moyo wa kizalendo wa hali ya juu katika nchi zao.

Wazalendo hawa walijitoa muhanga wa maisha yao kwa faida ya nchi zao na vizazi kwa vizazi.

Miaka ya sasa wazalendo kama hawa wako wachache sana.Libya alikuwepo Gaddafi, na Tanzania yupo rais John Pombe Magufuli.

Rais JPM amejitoa katika kuwatumikia wananchi maskini Tanzania.Hapati usingizi akiwafikiria kuwakomboa wananchi maskini.

Juhudi zake za kupinga rushwa, ufisadi na uwajibikaji wa viongozi ni kielelezo tosha rais huyu ana uzalendo uliotukuka.

Wananchi wa Tanzania wanabahati kubwa ya kumpata kiongozi huyu mwenye UCHUNGU na nchi.
kukandamiza uhuru wa kujieleza (freedom of speech)
Vyombo vya habari vinaminywa hasa vinavyoikosoa Serikali
Siasa za upinzani zinaminywa nchini, maoni yao yanapuuzwa, kusekwa sekwa ndani na mikesi kibao ili kuwatisha waogope.
 
Back
Top Bottom