PreGE2025 John Mrema: Wanaorusharusha vipicha endeleeni, ni suala la muda tu hatujawahi kukosea, tutajaza uwanja

PreGE2025 John Mrema: Wanaorusharusha vipicha endeleeni, ni suala la muda tu hatujawahi kukosea, tutajaza uwanja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Wakuu

Hapa Mwanza uzinduzi wa C4C ya CHAUMMA ni fedheha, John Mrema anatia huruma, uwanja ni hauna watu Mrema anajipa moyo akiwa anasubiriwa mzee wa ubwabwa atue na chopa.

Wakuu

Hapa Mwanza uzinduzi wa C4C ya CHAUMMA ni fedheha, John Mrema anatia huruma, uwanja ni hauna watu Mrema anajipa moyo akiwa anasubiriwa mzee wa ubwabwa atue na chopa.
View attachment 3354676
Hadi huruma. Huyu mlevi ni mweupe kichwani alikuwa anatembelea upepo wa Chadema tu, anafikri kujaza uwanja ni mchezo CCM wenyewe wanaenda kusomba watu kwa malori, ni Chadema tu ndiyo watu wanajaakwa hiari yao tena wanachangia na hela ili kazi iendelee kufanyaika .
 
Back
Top Bottom