G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,276
- 38,847
John Mrema anadai kuwa dhana ya No Reforms no election ni kukusanya wimbi kubwa la jamii ili kuwaleta pamoja kuhimiza mabadiliko.
Kwani huko mikoani Lissu na wenzake wanafanya kazi gani? Wanakimbiza Mwenge? Wanaimba mama mama mama...Wanamsemea mama kwa kampeni ya asemewe?
Mimi hata sijamuelewa Mrema. Au Pasco Pascal Mayalla umemuelewa? Emb muelezee alivyosema bila kuweka dhana zako?