kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,432
Soma mwenyewe uone toka a/c yake huko X......
Umezoea kusema uongo sana na ndio imekuwa silaha yako mara zote kushambulia watu na kuwafanyia bullying ili wakae kimya .
Kwa taarifa yako siku za nyuma nilipokuwa kiongozi nililazimika kuukalia kimya uongo wako ili kulinda maslahi mapana ya taasisi huku nikiumizwa binafsi ,kwa sasa sitakaa kimya tena kwani nimeshajua kuwa kumbe kukaa kimya dio laxima iwe ni BUSARA ila wakati mwingine unawapa maadui wigo wa kutamba na kusambaza uongo dhidi yako.
Kuhusu matamko nilipokuwa kwenye nafasi hiyo yapo mtandaoni na unaweza kuyasoma yalitolewa wakati gani na ya aina gani .
Kuhusu Mdude , wewe umefahamiana naye juzi ,yeye ni shahidi kuwa alipotekwa na kupotezwa nilitoa kauli kwa uzito mkubwa , sihitaji kujitetea kwako .
Kuhusu Soka , najua huko aliko kama anaweza kuusoma huu uongo atakuwa analia kwa uchungu sana .
Nimemfahamu Soka tangu mwaka 2021 na nilikutana naye nyumbani kwake nikiwa nasajili wanachama kidigital (pilot project) kule Ulongoni A. Akawa kijana wangu na hata alipofungua biashara Kinondoni alinifuata kwenda kumsaidia kukagua eneo la biashara yake .
Nimekuwa naye wakati wote anafuatilia mirathi yake Dodoma .nk nisiseme mengi as hakuna sababu ,akirudi atakuwa shahidi .
Kwamba nilifanya naye kikao ofisini siku moja kabla ya kutekwa ni UONGO ,kwani wakati anatekwa sikuwa DSM .Kuwa nilileta watu wa mfumo ofisini hilo unaweza kulithibitisha wewe kwani umezidi uongo ambao ndio mbinu yako ya kufanya BULLYING ILI MTU /WATU WANYAMAZE ......sitakaa kimya .
Nikipata wasaa mzuri nitaandika kuhusu mnavyowauza vijana kwa kuwaita Nairobi ,na kuwatuma bila kuwapa kinga yoyote ile ,wakati ninyi mkiwa ughaibuni mnawatuma front ,wakipata matatizo mnatafuta wa kuwatwisha zigo looote kuwa ninyi hamhusiki .....
Nimetumia wajibu wangu kama mwanachama kwa mujibu wa katiba ibara ya 5.3.4 wa kuwa tayari kupambana na aina yoyote ya ukandamizaji,unyanyasaji,udhalilishaji,uonevu na ubaguzi .
Sigrada ,anastahili kutendewa mema kama kiongozi na mwanachama ,hastahili kubagazwa ,kutishiwa au kudhalilishwa wakati huu akijiuguza ,hata kama humpendi utu wake una dhamani kubwa .
Jifunze kuheshimu utu wa wenzako ,jifunze kuwa na utu na sio unasukumwa na chuki na ubaguzi kuwa Sigrada anasitahili anayoyapitia na wakati huohuo unalaumu dola kutokutenda haki kwa wengine .
Eid Mubarak .