John Mnyika: Too Soon to Lose you!

John Mnyika: Too Soon to Lose you!

Mnabaki kuishi kwa kudhania dhania. Kupeana maneno, kuzuliana n.k. Mbona tunawasemea viongozi wetu?? Mnyika ni mtu mzima. anamaamuzi na uwezo wa kuchagua chaguo lililosahihi??
 
Ni suala la Kimkakati na kutoa nafasi ya watuhumiwa kuonyesha kitubio. Lakini kwa bahati mbaya matamshi ya Zitto na Kitila Mkumbo jana hayakuzingatia nafasi na fursa walizopewa. Hivyo CHADEMA makao makuu inaweza kutaka kufunua baadhi ya mambo ya hatari na ya ndani zaidi yaliyohaririwa au kuachwa katika waraka uliowekwa mitandaoni. Hili hata Mama Zitto analijua kuwa waraka halisi ni wa moto, unapilipili na unawasha au unachoma kabisa

Dhana nyingine za kilevi levi. Nani aliouhariri?? Acha pumba na kuishi kwa fitna.
 
nmekuwa nikiamn paspo shaka kuwa kiongoz makini ndani ya chadema ni mnyka nashangaa sana mnyka kukaa kmya kuangalia jinsi mbowe na mkwe wake mtei wanavyoivuruga chadema kwa maslahi yao bnafsi taarfa za wazi znasema na znaonyesha kuwa ruzuku ya chadema anayeifaidi ni mbowe na mkwe wake mti mnyka umekubali kuwasaliti wapgania demokrasia wa kweli zitoo na kaka yako mpare mwezako na mwalimu wako dk.kitila mkumbo zamu yako itafka mbowe na genge lake la wachaga litakugeuka kwa wewe kusema ukweli...dk.silaha amezeeka sasa na anachofanya ni kutafta pensheni ya uzeeni tu kwa safari anazopewa na mbowe ili kumfumba..tunaamini na tunajua dada yako halima mdee yupo upande wa wapenda mabadiliko wa chadema vijana shupavu kna zito na wasomi kina dk.mkumbo macho...

Note; john mnyika..halima mdee msimsaliti kaka yenu...mwalimu wenu na mpare mwenzenu dk.kitila mkumbo kwa kutaka demokrasia ya kweli chadema vizazi vyenu vitawahukumu....nccr ilimalizwa kwa fukuza fukuza na kna marando....najua mnyka upendi anachofanya mbowe toka hadaharan ukatae
 
Kibaraka wa Lumumba utahangaika sana..

Bosi wako ameshafukuzwa kama Mbwa na hujui ufanye nini.

Mnyika ni kijana mtiifu mwenye hekima na busara kubwa.Kijana huyu atafika mbali sana..
 
wewe nyoka utoae sauti laini na tamu toka pangoni SHINDWA! HADANGANYIKI MTU,NI BORA KULIKO KU DIRTY PROPAGATE JILIMIE KABUSTANI UJILIE VIMCHICHA NA NDUGUZO YOU KIDS U ARE SELF
 
Zito na wapambe wake wanapaswa kulielewa hili kuhusu uendeshaji wa chama cha siasa.

Uendeshaji wa chama cha siasa una changamoto nyingi. Kikubwa ni uongozi bora na fedha. Vyote viwili vinachangia kukuza na kuimarisha chama.

Uongozi uko namna mbili – kuna wale wnaokiuza chama kutokana na mvuto wao kwa umma (wafuasi) – kama vile kuwa wazungumzaji wazuri majukwaani (yaani fiery/eloquent speakers), haiba zao (charisma) nk. Katika CDM watu hawa ni kama Zitto, Dr Slaa, Lema, Tundu Lissu, Wenje nk.

Aina nyingine ya viongozi ni wale wenye kuchangia akili (brain power) – katika CDM kama vile Tundu Lissu, Prof Safariegu - nk. Ingawa Lissu yuko pande zote mbili.

Lakini hata kama chama kina viongozi lukuki wa namna hii ni bure bila kuwapo pesa kuendesha chama (logistics).

NCCR-Mageuzi ilipoteza umaarufu wake kutokana na kutokuwa na pesa kuendesha ingawa chama kilikuwa na watu wenye mvuto na haiba (charisma) kama vile Mrema, Lamwai etc. Serikali ya chama tawala iligundua hilo kwani NCCR ilikuwa inategemea ruzuku tu kutoka serikalini na serikali ikaona hapo ndipo pa kukinyongea chama maana bila fedha chama hakiwezi kwenda mbele.

Serikali ikachochea vikundi viwili kuibuka ndani ya chama hicho (Cha Mrema na cha Marando) na kuvipambanisha kwamab kipi kina haki ya kupokea ruzuku kwa kuwa na Trustees wanakubalika. Serikali ikaamuwa kukiona kikundi cha Marando ndiyo halali kupata ruzuku.

Katika Chadema serikali ya CCM imeshindwa kuisambaratisha Chadema kwa njia ya fedha, kwani imegundua CDM ina vyanzo vingine vya kupata fedha kuendesha chama.

Na hili wengi katika Chadema hawalijui -- yaani fedha – tena kwa mabilioni. Angalia kampeni za chaguzi ndogo zilizofanyika – mahelikopta nk -- vitu ambavyo kimekiwezesha chama hicho kuchuana vikali na CCM yenye pesa zilizo katika ncha za vidole wakati wowote – (ni ku-snap fingers only!). Swali nani anagharamia fedha hizi katika CDM? Ni ile ruzuku pekee kutoka serikalini? Kweli wengi wanashindwa kujiuliza hili.

Hata Zito mwenyewe bila shaka analifahamu hili kama yuko honest with himself.

Tuangalie viongozi wakuu wa CDM na waasisi. CDM ina bahati (kuliko ilivyokuwa NCCR au hata CUF) kuwa na viongozi wakuu ambao ni mabilionea -- naweza kusema hawa ni Mzee Mtei, Ndesamburo, na Mbowe mwenyewe.

Na katika hao Mbowe (mwenyekiti) ndiyo kiungo muhimu (vital coordinator) anayeaminika na hao wengine wawili katika ku-channel funds za kuendesha chama. Kwanza nasikia kuna uhusiano wa kifamilia baina ya Mbowe na Ndesamburo (au Mbowe na Mtei? Sifahamu vizuri).

Sasa basi wafuasi wa Chadema wenye kuchambua mambo wataona kwamba Mbowe kuwa mwenyekiti wa CDM ni kitu muafaka haswa, hasa wakati huu ambapo chama kinajijenga.

Ninavyosikia ni kwamba kama kunatokea haja ya fedha kwea ajili ya shughuli fulani ya haraka ya chama, kama vile helikopta nk katika kukamilisha mkutano fulani wa hadhara au wa kampeni Mbowe ndiyo hutoa hayo maombi kwa akina Mtei na Ndesamburo) na hapo mara moja vitu hivyo vinapatikana.

Hivyo basi hebu fikiria iwapo Mwenyekiti wa CDM ni mtu mwingine, kwa mfano Zito Kabwe, jee channel hizi za kupata pesa zinaweza kweli kuendelea kuwepo? Swali gumu!

Zito mwenyewe kasema kwenye mkutano Serena kwamba yeye hana pesa – hajajilimbikizia fedha. Kama kweli, basi uwenyekiti wake wa CDM ambao watu fulani wanadai ndiyo lengo lake – utakuwa ni uwenyekiti wa matatizo makubwa! Akina Mtei hawatamuamini kuchannel fedha zao. Chama kitayumba.

Itakuwa kama vile ilivyoandikwa katika kitabu cha Joan D’Arc – msichana Mfaransa katika Karne ya 15 aliyekuwa maarufu katika kuongoza majeshi na kuweza kuwashinda adui.

Lakini hakuwa anajua fedha za kugharamia majeshi (logistics) zilikuwa zinatoka wapi, na siku moja wakuu wa nchi walimfanyizia jambo ili aelewe hilo. Kwa maana nyingine alitakiwa kujua kuwa ‘umaarafu’ wake vitani ni sawa, lakini alikuwa anakijua kile kilichokuwa kinamsukuma kupata umaarufu huo?

Mimi binafsi ninapenda kuamini kwamba bomu la Soweto ilikuwa ni kutaka kumuuwa Mbowe (assassination attempt) kwa lengo la kuikatia CDM chanzo kikubwa cha fedha. Napenda kuamini hivyo.

Aidha wakati wa uchaguzi mkuu wa 2010 CDM ilikuwa haina fedha nyingi za ruzuku ya serikali kama wakati huu. Chama kilishindwa kuweka wagombea ubunge katika majimbo mengi tu. Inasemekana fedha nyingi za kampeni katika majimbo hayo na katika kampeni za urais zilitoka kwa akina Mtei.

Matokeo yake ni kwamba katika majimbo ya ubunge hayo waliyoshinda na ukichanganya na viti maalum, CDM imeweza kuwa inajipatia ruzuku ya zaidi ya sh milioni 200 kwa mwezi, (CCM ni zaidi ya sh bilioni moja kwa mwezi).

Kama kweli Zito ananyemelea uwenyekiti kama vile wapambe wake wanavyodai – na kwamba mgogoro wote baina yake na uongozi wa juu wa CDM ni huo uwenyekiti – basi anakosea saana! Namsihi atambue kwamba yeye bado young sana, achangie umaarufu wake kukisaidia chama kushika dola na iwapo kitashika dola, basi hayo masuala ya fedha ya kuendesha chama yatakuwa yametatuliwa. Na hapo ndipo anaweza kuomba kugombea Uwenyekiti.

Kwa sasa hivi CDM inahitaji fedha, tena fedha nyingi kukiendesha chama, na kama hizo zinapatikana kuotka kwa uongozi wa juu uliopo, wana-Chadema laizime washukuru hilo na tusiharibu mambo.

Nawasilisha. Ni mawazo yangu.

nmekuwa nikiamn paspo shaka kuwa kiongoz makini ndani ya chadema ni mnyka nashangaa sana mnyka kukaa kmya kuangalia jinsi mbowe na mkwe wake mtei wanavyoivuruga chadema kwa maslahi yao bnafsi taarfa za wazi znasema na znaonyesha kuwa ruzuku ya chadema anayeifaidi ni mbowe na mkwe wake mti mnyka umekubali kuwasaliti wapgania demokrasia wa kweli zitoo na kaka yako mpare mwezako na mwalimu wako dk.kitila mkumbo zamu yako itafka mbowe na genge lake la wachaga litakugeuka kwa wewe kusema ukweli...dk.silaha amezeeka sasa na anachofanya ni kutafta pensheni ya uzeeni tu kwa safari anazopewa na mbowe ili kumfumba..tunaamini na tunajua dada yako halima mdee yupo upande wa wapenda mabadiliko wa chadema vijana shupavu kna zito na wasomi kina dk.mkumbo macho...

Note; john mnyika..halima mdee msimsaliti kaka yenu...mwalimu wenu na mpare mwenzenu dk.kitila mkumbo kwa kutaka demokrasia ya kweli chadema vizazi vyenu vitawahukumu....nccr ilimalizwa kwa fukuza fukuza na kna marando....najua mnyka upendi anachofanya mbowe toka hadaharan ukatae

kupaka paka rangi maandishi ni dalili ya kutoziamini hoja zako.wewe utakuwa mwanafunzi wa THE BIG SHOW aka STEJI SHOW wa SINGO ZA UDINI
 
nmekuwa nikiamn paspo shaka kuwa kiongoz makini ndani ya chadema ni mnyka nashangaa sana mnyka kukaa kmya kuangalia jinsi mbowe na mkwe wake mtei wanavyoivuruga chadema kwa maslahi yao bnafsi taarfa za wazi znasema na znaonyesha kuwa ruzuku ya chadema anayeifaidi ni mbowe na mkwe wake mti mnyka umekubali kuwasaliti wapgania demokrasia wa kweli zitoo na kaka yako mpare mwezako na mwalimu wako dk.kitila mkumbo zamu yako itafka mbowe na genge lake la wachaga litakugeuka kwa wewe kusema ukweli...dk.silaha amezeeka sasa na anachofanya ni kutafta pensheni ya uzeeni tu kwa safari anazopewa na mbowe ili kumfumba..tunaamini na tunajua dada yako halima mdee yupo upande wa wapenda mabadiliko wa chadema vijana shupavu kna zito na wasomi kina dk.mkumbo macho...

Note; john mnyika..halima mdee msimsaliti kaka yenu...mwalimu wenu na mpare mwenzenu dk.kitila mkumbo kwa kutaka demokrasia ya kweli chadema vizazi vyenu vitawahukumu....nccr ilimalizwa kwa fukuza fukuza na kna marando....najua mnyka upendi anachofanya mbowe toka hadaharan ukatae

Nadhani MODS kazi imeanza kuwashinda, thread kama hizi hazikupaswa kuwa ndani ya JF. Huu ni utoto, thread imeandikwa kipuuzi, makosa ya kiuandishi kibao na lugha yenyewe very poor. Please Mods tuondoleeni UJINGA huu.
 
Magamba yanahaha kumwokoa mtuhumiwa wa usaliti -- hachomoki!!
 
Back
Top Bottom