John Mnyika: Too Soon to Lose you!

John Mnyika: Too Soon to Lose you!

miccm mijinga sana yaani zito kauomba uongozi wake wamchomoe hili aokoe miela ya tiss na wasira yenyewe yanashangilia mmeliwa wakuu
 
Hii heading ya thread yako ndugu wengine imetaka kutuletea heart attack hapa! Mnyika ni mtu muhimu sana kwa taifa letu so kuweka heading ya namna hiyo inaleta mshtuko kabla mtu hujaingia kusoma yaliyomo! By the way, Mungu ndiye mlinzi wa maisha yetu na kama asipokuwa upande wetu hata tukizungukwa na vifaru vya jeshi bado haitafaa kitu! Namwombea Mnyika na wote wenye mapenzi mema na nchi yetu ulinzi wa Mungu aliye hai na kupitia wao taifa letu likakombolewe na wtz wakapate kuona furaha ya Mungu kuwaweka Tz Amen!
 
Hana exposure internationally
Anayesama hayo kila akienda nje anagongea pa kulala ilihali anayesemwa kuwa hana exposure anafikia kwake! Yaani mtu ana makazi Kigoma, wewe unafikia sebuleni kwa ndugu na jamaa alafu unadai kuwa mwenyeji zaidi ya mwenye makazi ya kudumu?! Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi!
 
ZeMarcopolo acha ushabiki...hivi kwa nini katika msiba huu wanaopiga ndulu sana ni walio maadui?!
Kitu kimoja wengi hawajui juu ya Waraka ulio mtandaoni ni kuwa umefanyiwa uhariri. Kama ungewekwa kama ulivyokamatwa Zitto asingekuwa na guts za kuitisha press conference jana na wala wapigandulu wa Lumumba wasingkuwa na upenyo wa kupiga mayowe
Acha porojo.Tuletee hapa huo waraka usiyofanyiwa uhariri.
 
Inasikitisha sana sana, siasa za ndani za CDM zinafanya vijana wenye uwezo mkubwa sana wa kisiasa na kupambanua mambo kama Mnyika, Mdee Tundu Lisu kuwa just a PUPPET

Mazingira ya demokrasia ndani ya CDM haya nafasi kabisa la sivyo utaishia kuitwa msaliti, hutakiwi kutofautiana kimawazo na ''WENYE CHAMA'' zaidi ya kuitikia ndio mzee.......hapo utakuwa mwenzao
 
Kwa mtu anayemsoma na kumuona Mh. Mnyika akiwa kazini wala hahitaji ushauri kama huu. He's above this nonsensical advice.

Huyu kijana ni mmoja kati ya wanasiasa wachache sana Tanzania wenye kipawa katika kupambana na siasa za majitaka na zile zisizo na majitaka ndani na nje ya CHADEMA.

Anafahamu anachokitaka katika siasa na anafahamu pia asichokitaka katika siasa za Tanzania.

Kwa mtazamo wangu, Ushauri wako ni mzuri lakini uko chini sana kwa level yake kifikra na kimtazamo kisiasa.
 
leo mnamtaka si Zitto alikuwa anamfanyia hila na Msaky asichukue ubungo.
 
"Kiongozi Mkuu yuko too local" - waraka...

Hapo ndio Zitto alipojidhalilisha...huwa zitto ahat kiingereza chake si kihivyo pamoja na kuwa busy sana kukusanya terminologies.

Bado ana akili za kirangi tuu....kuchukua umbe na kupeleka kwa waarabu na wahindi hata wakiwa wafanyakazi wake.Zitto ziku zote anajipima kwa mbowe km role models wake wa sirini.
 
Boreless Hebu google hallucinations na illussions disorders. Nafikiri unakimbilia huko!
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikusaidie

Hallucinations occur when someone sees, hears, smells, tastes or feels things that don't exist outside their mind.

Delusional: having false or unrealistic beliefs or opinions
 
Wanadamu hamna maana,mnapenda kushabikia maharibiko ya wengine as if nyie ni malaika hapa duniani,mpaka sasa hakuna aliye msafi na kila mtu ana udhaifu wake katika dunia hii,hii tabia ya kujifanya watu hawana makosa na kunyooshea wenzao vidole haitatufikisha popote.
Unapofurahia mwenzako aliyekuwa akijaribu kuvuka mto kazama wakati wewe bado hujaanza hata hatua moja kuingia majini ni sawasawa na bure,hebu tujipe muda wa kutafakari na kujua kwa kina zaidi nini kilitokea na tuache kuibua vitu ambavyo havitusaidii kama watanzania.
 
Unaweza kunipa sababu ya msingi ya Mnyika kuzima simu zake zinazojulikana kwa umma na kukatika kimawasiliano toka wiki ya tarehe 10? Pili, Je, ni kweli Mnyika alikuwa miongoni mwa delegation ya wabunge wa Kamati ya Maliasili iliyokwenda nje? Wadhani kwa nini aliamua kulazimisha safari ya ghafla kukacha kikao cha Kamati Kuu?

Mkuu pamoja na kua unaonekana una busara lakini inaonekana busara zako zinatumika vibaya, kwa sasa hivi kuanza kumshambulia Mh. Mnyika ni sawa na kuzika chama. Kwa sasa hivi Mh. Mnyika ni kama chumvi kwenye chakula umuhimu wake hauonekani lakini ilikosekana chakula kinapoteza ladha. Mh Mnyika ni kajana makini na ataendelea kua makini kuondoka kwa Mnyika kunaweza kusababisha maafa makubwa kuliko waliokutuma wanavyodhani.
 
Mnyika na jimbo lako ni ubungo dar es salaam? Ngoja tuone matokeo yako na unafiki wako 2015.
 
boreless
Loose ndiyo nini. tumia maneno sahihi ni lose.


loose inaweza kuwa matusi hasa kwa mwanaume.
 
Inasikitisha sana sana, siasa za ndani za CDM zinafanya vijana wenye uwezo mkubwa sana wa kisiasa na kupambanua mambo kama Mnyika, Mdee Tundu Lisu kuwa just a PUPPET

Mazingira ya demokrasia ndani ya CDM haya nafasi kabisa la sivyo utaishia kuitwa msaliti, hutakiwi kutofautiana kimawazo na ''WENYE CHAMA'' zaidi ya kuitikia ndio mzee.......hapo utakuwa mwenzao

Hebu tuthibitishie haya uliyonena. Acha hilo la uwezo wa kupambanua mabo kwa kuwa halihitaji proof ila hili la kuwa ni PUPPET.

Msilete vitu vya kutunga ili kupumbaza watu na kufikia malengo yenu baridi.
 
Back
Top Bottom