Wanaopinga hoja hii nzito na yenye umuhimu mkubwa kabisa naona ni kutokana na uvivu wa kufikiri, ujinga au wananufaika na mfumo wa sasa ambao ni mbovu na uliopoteza mwelekeo wa kulisukuma taifa hili mbele.
Nakuunga mkono mdawa,huo ndio ukweli,tatizo la watanzania ni udumavu wa ubongo,unajua lishe inasemaje,udumavu ni tatizo kubwa sana sana na linaanza ndani ya siku 2000 tangu kutungwa kwa mimba hadi miaka miwili akishazaliwa,lakini unjua athari zake,mtoto huyo akizaliwa na udumavu anaendelea nao na hata akifika umri wa kuzaa na yeye atazaa mtoto mdumavu kwa hiyo inakuwa ni ulemevu endelevu kwa vizazi vyote,na effect yake kubwa ni kwenye brain,hili ndio tatizo kubwa la Tanzania,na taarifa zilizopo Tz ni nchi ya tatu barani afrika kwa kuwa na tatizo la lishe duni na matokeo yake ndio haya unayoyaona kwa wanajamii.