jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,362
Ili Tuendelee tunahitaji vitu 4
1. watu
2. Ardhi
3. Siasa safi
4. Uongozi Bora
Kwa sasa Taifa linaangamia Siasa safi na Uongozi Bora vimepotea na haya yanayotokea tumeyataka wenyewe kwani hata baba wa Taifa angefufuka Leo angetulaumu sana kwa kumchagua mtu ambaye hakuwa Chaguo lake.
kibogo, shirikisha ubongo wako vizuri. tofautisha kati ya "reported speech" na "speech"
"ILI TUENDELEE TUNAHITAJI WATU WENYE AKILI" haya ni maneno yangu.
zingatia:-
hakuna nchi isiyo na ardhi,
hakuna nchi isiyo na watu,
bali nchi zenye watu wajinga zimefanywa mtaji wa nchi zenye watu wenye akili.
Last edited by a moderator: