John Mnyika: Pinda ni muongo

John Mnyika: Pinda ni muongo

Nawe upo hapa lakini mkuu sema wewe una multilpe IDs...naipenda jf, the home of great thinkers...

kaka nina ud moja tu, ila hata mi naipenda jf ila sasa kwanini unajidharirisha kwa kutoa koment kama hutumii kichwa kufikiri
 
Eti mtoto wa mkulima, mtoto wa mkulima mjinga kiasi hiki mnafiki kazi yake kulialia tu wakati yeye ndiyo kiongozi wa serikali, watoto wa wakulima/ wafungaji walikuwa akina Sokoine siyo huyu mpuuzi...

Leo kajidhihilisha kuwa ni gwiji wa siasa za propaganda.
 
Nampongeza sana Mbunge wa Ubungo, John Mnyika kwa kumuumbua Waziri Mkuu, Mizengo Pinda juu ya uongo wake kwa Taifa kuhusu mapendekezo ya Mabadiliko ya Katiba Mpya yaliyowasilishwa na Chadema. Nami nathibitisha Pinda ni Muongo kinoma!
yeah, ila leo hajalia wakuu!! alikuwa confident wakati anagagadua uongo wake. ame-improve!!
 
Jioni hii wakati pinda akihitimisha bajeti yake, aliweza kuongopa kuwa sheria ya mabadiliko ya katiba kuwa kuna kipengere kinachotaka baraza la katiba la wilaya linachaguliwa na WDC kitu ambacho c kweli, pili kuwa Chadema haikupeleka mapendekezo ya mabadiliko ya katiba awamu ya pili kitu c cha kweli Mnyika alisema yeye ndio aliyepeleka. Akaomba muongozo kwa waziri mkuu kusema uongo, na hii ni mara ya pili ikiwa awali muongozo wa kusema uongo haukutolewa. Spika amesema kesho atatoa muongozo.
 
akijibu hoja ya mh. Mbowe waziri Chikawe ametofautiana na waziri wake mkuu kwa kusema kuwa CHADEMA walipeleka
maoni yao lakini yalikataliwa na Tume.
 
akijibu hoja ya mh. mbwe waziri chikawe ametofautiana na wariri wake mkuu kwa kusema kuwa chadema walipeleka
maoni yao lakini yalikataliwa na tume.
 
Jaman labda kutakua na tayizo huyu mzee kapatwa na nini hadi anaongopa hivi?
 
Mkuu kumbuka kuna watu wanafatilia bunge kupitia jf, lengo langu kumwambia mleta mada aripoti kile kinachotokea ama alichosema mnyika ni ili wanaofatilia kupitia mtandao hawako kwenye tv wapate real info sio hisia zake...mada yangu kuhusu mbowe sijaweka neno langu hata moja. Mm sio gamba

Msalimie boss wako ritz
 
mambo mengi nimeona amejibu kisiasa na kumshambilia mtu mmoja tu kwenye bunge
badala ya kujibu hoja ya kiongozi wa upinzani, alikuwa anajibu hoja za mbowe
 
Na saa hizi waziri wa sheria na katiba Bw Chikawe amethibitisha kuwa CHADEMA wameleta mapendekezo hila hayakuzingatiwa. Hii kauli imedhibitisha uongo wa Pinda aliyesema kuwa CHADEMA hawakuleta kabisa mapendekezo yao.
 
Ili Tuendelee tunahitaji vitu 4
1. watu
2. Ardhi
3. Siasa safi
4. Uongozi Bora
Kwa sasa Taifa linaangamia Siasa safi na Uongozi Bora vimepotea na haya yanayotokea tumeyataka wenyewe kwani hata baba wa Taifa angefufuka Leo angetulaumu sana kwa kumchagua mtu ambaye hakuwa Chaguo lake.
 
alichosema mnyika ni hiki:
Waziri mkuu ametuhumiwa kuwa amesema uongo bungeni wakati akihitisha hoja yake.
1. ni kuhusu uundwaji wa mabaraza ya kata
2. chadema hawakupeleka maoni yao kwenye tume ya mabadiliko ya katiba.
source Tbc 1
 
Jioni hii wakati pinda akihitimisha bajeti yake, aliweza kuongopa kuwa sheria ya mabadiliko ya katiba kuwa kuna kipengere kinachotaka baraza la katiba la wilaya linachaguliwa na WDC kitu ambacho c kweli, pili kuwa Chadema haikupeleka mapendekezo ya mabadiliko ya katiba awamu ya pili kitu c cha kweli Mnyika alisema yeye ndio aliyepeleka. Akaomba muongozo kwa waziri mkuu kusema uongo, na hii ni mara ya pili ikiwa awali muongozo wa kusema uongo haukutolewa. Spika amesema kesho atatoa muongozo.

Pinda ni janga. Na tulisha sema hapa lwamba, wapo viongozi wakubwa tu hata katiba ya nchi hajui inasema je kulingana na nafasi zao.
 
Pinda kweli uwezo wake wa kuongoza ni mdogo sana!kuna mbunge mmoja wa viti maalum huko kusini kahoji kuwa Pinda amesahau hoja zao zote na kujikita kujibu hoja za chadema hususan mbowe.Pia ktk kamati ya matumizi naona kama chadema wamezira kuhoji lolote ktk kupitisha mafungu hayo.
 
Back
Top Bottom