Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,558
- 7,168
Jioni hii wakati pinda akihitimisha bajeti yake, aliweza kuongopa kuwa sheria ya mabadiliko ya katiba kuwa kuna kipengere kinachotaka baraza la katiba la wilaya linachaguliwa na WDC kitu ambacho c kweli, pili kuwa Chadema haikupeleka mapendekezo ya mabadiliko ya katiba awamu ya pili kitu c cha kweli Mnyika alisema yeye ndio aliyepeleka. Akaomba muongozo kwa waziri mkuu kusema uongo, na hii ni mara ya pili ikiwa awali muongozo wa kusema uongo haukutolewa. Spika amesema kesho atatoa muongozo.
Nnafikiri katika kukariri hotuba yake,hapa alijisahau na kuchanganya mambo.