Kama umefuatilia vizuri mwanasheria mkuu wa serikali ameyeyusha hoja ya Mnyika alipokuwa akimjibu Mbowe aliposisitiza azima ya Chadema kujitoa katika mchakato wa katibaNi pale alipokuwa anasoma majumuisho ya bajeti ya wizara ya ofisi ya Waziri mkuu. Amedai kwamba Chadema hawakushiriki kwenye moja ya vipengere kama ilivyotakiwa kwa vyama vya siasa kwenye kutoa maoni ya katiba mpya.Mh. Mnyika amesimama na kueleza wazi kwamba amedanya na kuomba mwongozo wa spika ambapo binti Kiroboto amekinga kifua kwamba watatoa maamuzi ya mwongozo wake kesho.
Ni kawaida yake mwacheni, ndivyo ilivyo Serikali yetu.
Pinda kweli uwezo wake wa kuongoza ni mdogo sana!kuna mbunge mmoja wa viti maalum huko kusini kahoji kuwa Pinda amesahau hoja zao zote na kujikita kujibu hoja za chadema hususan mbowe.Pia ktk kamati ya matumizi naona kama chadema wamezira kuhoji lolote ktk kupitisha mafungu hayo.
Siku hizi ni mfalme wa nyuki.Si wananchi wanamwita mtoto Wa mkulima imeishia wapi wadau?
Kwani waziri Chikawe amejibu vipi hivi wewe una akili kweli?Hivi kwa mbunge kama mnyika unategemea atakuja na hoja nzuri zaidi ya manung'uniko? Toka kikao cha bajeti kimeanza hajachangia hata kidogo
Nani wa kumshinikiza?Pinda inabidi ashinikizwe kuacia ngazi