Nani wa kuinua mdomo na kupinga ufisadi pale chadema
huo uongo wako wapelekee hukohuko , unafiki mtupu !Wakazi wa jimbo la Kibamba watangaza rasmi kumng`oa MNYIKA, kutokana na kupungua kwa imani yao dhidi ya mgombea huyo. Wanadai amekuwa kimya sana katka kukemea ufisadi ndani ya chama chake kama alivyokuwa awali. Hivyo wamekuwa na mashaka nae na wapo tayari kumchagua mbunge mwingine tofauti na yeye.
Pole sana Mnyika.
Hongereni sana wanainchi wa Kibamba.
nataka kesho nikamwambie mnyika na madiwani wake hawana haja ya kupiga kampeni kabisa , wapange mawakala wao tu vituoni baaasi !Mnyika atakua mbunge wa kibamba SAA NNE asubuhi
Wakazi wa jimbo la Kibamba watangaza rasmi kumng`oa MNYIKA, kutokana na kupungua kwa imani yao dhidi ya mgombea huyo. Wanadai amekuwa kimya sana katka kukemea ufisadi ndani ya chama chake kama alivyokuwa awali. Hivyo wamekuwa na mashaka nae na wapo tayari kumchagua mbunge mwingine tofauti na yeye.
Pole sana Mnyika.
Haina haja ccm walikua wanahaha mbinu ya kujinusuru na Mnyikanataka kesho nikamwambie mnyika na madiwani wake hawana haja ya kupiga kampeni kabisa , wapange mawakala wao tu vituoni baaasi !