John Mnyika: "All is well in CHADEMA"

Daaaa VIMBULULU? Hilo jina nimelisikia kipindi kirefu sana
 
Ila ao wanachama mnaowapa kadi leo baadae wakiwakosoa mnasema si wanachama!chama cha Ziaka..mnawabeza mpaka waliokua viongozi wenu
Ebu tutolee povu hapa kwani habari za cdm zinakuhusu nini?
 
Mnyika anajidhalilisha tu luwatumiakia hao Mnyang'au...

Amekuwa mnafki sana,na hii ni aibu kwa kijana wa rika lake kutumika na hao wazee...
DIV 5 utamjua tu....LUWATUMIKIA ?
 
Hongera sana mkuu kwa kuwajibu hawa kina kwangu pakavu wa lumumba
 
kumbuka unapomnyooshea mwenzako kidole, vinne vinakurudia wewe! Chagadema dhoofu kwishney!
Naona unamshobokea sana mnyika! Kesha jipatia ndoa yake huyo hivyo wewe huna nafasi
 
naona Mnyika anakuwa lulu ccm,tofauti na siku za nyuma. wakimshutumu kweli kweli,
 
Wengi hamna akili mnao hangaika na mtoto mdogo kama J. Mnyika!!

Ina maana yeye akiondoka chama kitapoteza nn? Prof. Lipumba aliondoka UKAWA-upo, Dr. Slaa aliondoka CHADEMA -ipo. Zitto alijifanya kuna jasho lake CDM akatimuliwa-CHADEMA -imara ipo.

Msiyumbushwe na vitoo vya 1980s havijui siassa na havina uvumilivu, na havina familia hivo ushauri ni ZERO.
 
Kufanya siasa ni uamuzi wa mhusika mwenyewe na kuacha siasa ni uamuzi wa mhusika pia .
Kwa jinsi ccm wanavyo iogopa cdm wakisikia mtu anakohoa tu basi wanaomba cdm isambaratike
 
Katibu anao uwezo wa kuita press conference akazungumzia hili swala, naona mnataka kuifanya kama issue ya Dr. Slaa na baadaye akaja kuwaumbua
 
sio matusi we utakata tawi ulilokalia ,njaa haina ubaunsa lowassa ana hela na slaa na lipumba walihongwa,hawa wanasiasa siasa ndio kazi yao hana hata kibanda cha kuuza nyanya
Wewe mwenyewe mbona una zunguka kutwa mzima kuuza sox na viberiti mkononi na bado watu wana kuheshimu?
 
Chadema ife kwa sababu mnyika ataondoka?!!! Kwel mnaota Chadema labda itakufa utawala wa vyama vingi ukifa yan tuwe kama Korea hivi
Korea kaskazini!
 
Siamini hadi nimsikie mhusika
Mkuu hiyo speech tunayoijadili hapa ni ya mwaka 2014!! Yote yalishapita na kijana alipigania chama kama kawaida!na kwenye hiyo speech Mnyika anasema All is well in Chadema!! Ila huyo mleta mada kaamua ku twist tafsiri na kumlazimisha kuwa chama kimekufa!! Traitors waliozungumzwa enzi hiyo tayari walishajipanga kwenye mstari wao na wakahesabiwa! Leo kila mtu anawatambua kwa sura na majina,kama Mnyika ana jingine basi litakuwa jipya,watu wanalazimisa ku connect the wrong dots just to fulfill their marvelous agenda,Mnyika yupo! Tumsubiri aseme yeye,you better shut your ill stinky mouth by now.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…