John Mnyika: "All is well in CHADEMA"

atoke chadema kale wapi form six leaver yule mganga njaa
 
uchaguzi ln mkuu? Watu wanasoma alama za nyakati hujajua tu!

CHADEMA hakuna fursa ya kuteuliwa kuwa DC au DAS; Ni mapenzi mema waliyonayo watu ndio huwafanya waendelee kuwa wanachama.
 
Matusi yameanza ....
sio matusi we utakata tawi ulilokalia ,njaa haina ubaunsa lowassa ana hela na slaa na lipumba walihongwa,hawa wanasiasa siasa ndio kazi yao hana hata kibanda cha kuuza nyanya
 
hata Wasira alitabiri mwisho wa chadema lakini yeye kafikia mwisho wa kisiasa na chadema inasonga mbele
 
Chadema ife kwa sababu mnyika ataondoka?!!! Kwel mnaota Chadema labda itakufa utawala wa vyama vingi ukifa yan tuwe kama Korea hivi
 
Nampenda Mnyika sana lakini kama anaenda aende kwa amani kabisa
 
Mbowe mwenyewe ameshachoka na chadema ukimwangalia tu hana mbinu mpya tena za kuongoza chama...... Ndiyo maana ilitakiwa awaachie vijana mapema waje na fikra mpya za kuendesha chama.... Chedema kuanza upya si ujinga...... Anzeni kwanza kutengua uteuzi wa huyo Katibu mkuu wenu.... Maana utafikiri ni Katibu mkuu kivuli...... Baada ya hapo mbowe naye apumzike awaachie wengine uenyekiti..... Ila msimpe Sugu wala Msigwa....
 
Soko la hisa lashuka kwa 78%
 
Mtahangaika sana,CDM ipo pale pale na inazidi kujikusanyia wanachama wapya kila uchao.Kadi za cdm zinazidi kuwa lulu huku field tulipo na tunaomba tu uongozi watuletee kadi nyingi.
Mkuu mimi ninehama na wanachama 500 wa ccm na kuhamia cdm baada ya kuchoshwa na ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…