John Malecela apata msiba

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Waziri mkuu mstaafu, john samwel malecela amefiwa na mjukuu wake mary. more updates to follow!
sosi: matangazo ya vifo, redio wani stirio
 
Poleni wafiwa. Mbona alikufa tangu jana ila sasa hebu tupeni wasifu wa huyo Mary. She died at age 25, but sure she maintaned very nice profile (low) ambao kwa wote wenye majina marefu ni fundisho kwa watoto na wajukuu zenu.
 
Poleni sana wanafamilia mungu awape moyo wa uvumilivu hasa hiki kipindi kigumu cha msiba
 
Poleni sana wafiwa! Mungu awajaze nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu!
Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi. Amen!
 
poleni wafiwa. Mbona alikufa tangu jana ila sasa hebu tupeni wasifu wa huyo mary. She died at age 25, but sure she maintaned very nice profile (low) ambao kwa wote wenye majina marefu ni fundisho kwa watoto na wajukuu zenu.

sijaelewa pls,
 
Back
Top Bottom