Mwambie ampe kura yake
Atampa na mimi pia ntampa,
Mwambie ampe kura yake
Huyu aliehusika kuuza nyumba za serikali, Huyu alieratibu na kuwezesha kupaa kwa deni la Taifa kasha kuwagawia MAFISADI wenzie ulaji? hope your kidding ...
Sidhani kama unajitambua!
Wewe ndo hujitambui kabisa. Magufuli hafai hata huo uwaziri. Ni msanii mzuri sana na ndio maana watu kama wewe mnamwona anafaa. Waulize wakandarasi anaofanya nao kazi. Waulize wafanyakazi wa wizara yake. HAFAI KABISA! Angalia track record yake, ni ubabe tu ndo anaujua!
Wewe ndo hujitambui kabisa. Magufuli hafai hata huo uwaziri. Ni msanii mzuri sana na ndio maana watu kama wewe mnamwona anafaa. Waulize wakandarasi anaofanya nao kazi. Waulize wafanyakazi wa wizara yake. HAFAI KABISA! Angalia track record yake, ni ubabe tu ndo anaujua!
Wewe ndo hujitambui kabisa. Magufuli hafai hata huo uwaziri. Ni msanii mzuri sana na ndio maana watu kama wewe mnamwona anafaa. Waulize wakandarasi anaofanya nao kazi. Waulize wafanyakazi wa wizara yake. HAFAI KABISA! Angalia track record yake, ni ubabe tu ndo anaujua!
Demokrasi ni nzuri ktk nchi ambayo wananchi wake wanajitambua.ktk Tz ya sasa tukisema tuendelee kujiongopea kuwa tutafute kiongozi anayebembeleza watu,tunajidanganya.Kila wakati tunasifia Rwanda,watanzania hawawezi kuishi Rwanda.Kwa kuwa hatuko watiifu.Siasa za uwongo zimetumaliza. Tutafute MTU wa kunyoosha mstari.tuwe wakweli.Magufuri ndio mtu pekee ambaye yupo ktk muda huu.
Huyu jamaa ni zaidi ya jembe..CCM kama kweli wanataka mtu atakaepita kwa kishindo na kujiakikishia kubaki madarakani basi JP Magufuli ndio kilio cha watanzania wengi...hao wanaomtetea Lowassa ivi wanaakili kweli? Jitu limetuletea kashfa kibao kuanzia Richmond, fisadi, et shule za kata, izo nazo shule? zina ubora upi? serikali imeamua kuja na mambo ya GPA ili kufunika aibu ya wanafunzi kufeli. Bora hata ya JK amejitaidi kuongeza idadi ya walimu na maabara. Huyo Lowassa atufai, hafai kua kiongozi, hatutaki watu wabinafsi wakuliibia taifa hili, esp sasa ivi tuna gas, tutajuta tukimpitisha uyo mmasai, mi kura yangu simpi, Hafai,, mtu yoyote makini ataliona hilo.
Aulize wakandarasi? wafanyakazi? U must have an IQ of a ten year's old boy! yani hata hauna hoja, yani unategemea anavyowabana wafanye kazi wakandarasi watampenda? si ungesema tuwaulize wananchi? nshakufuatilia comment zako unamfagilia fisadi Lowassa, labda tuwailize hao wananchi wangapi wanamtaka uyo fisadi? hamna mahusiano yoyote ya maana kati ya waziri wa ujenzi na hao makandarasi zaidi ya kuona a value for money kwenye barabara zetu..hatutaki mtu wa kucheka cheka nao au kuwabembembeleza, tumechoka na uwo upuuzi, hayo mahusiano unayoyataka yataleta substandard road, plus mi namfaham mkandarasa mmoja mzalendo keshapata tender nyingi tu za kujenga madaraja vijijini, he appreciates kazi za JP Magufuli, anasema wazi bila usimamizi imara wa iyo wizara kungekua na upigaji mkubwa. Hao wafanyakazi kama una claim ana uhusiano na mbaya basi wewe ndio wa kwanza kulipoti kutoka radio mbao. Najua sana msimamo wako unamtaka Lowassa cz unatoka kaskazini, sina tatizo na rais kutoka kaskazini ila hatutaki fisadi sisi haijalishi anatoka pande zipi za taifa hili.
Magufuli ni fisadi hafahi kuwa rais akiwa waziri wa nyumba na makazi wakati wa serikali ya awamu ya nne aliweza kuuza nyumba za serikali kwa bei ya kutupa leo hii tunaona viongozi wana yoangaika mpaka serikali inaingia gharama kuwapangishia nyumba aliuza nyumba zote zilizo kwenye maeneo ya Oysterbay,Masakia,Mikocheni,Upanga n.k sasa kama aliweza kufanya hivyo akiwa waziri tukimpa ursis si atauza kila kitu mpaka mbuga za wanyama mwisho wa siku tutakuwa watumwa ndani ya nchi yetu.Kingine huyu bwana Magufuli hana hekima wala busara hufanya maamuzi kwa kukurupuka na kuigharimu serikali kulipa fidia kwa waathirika mfano mara kwa mara tumeshuhudia akivunja majengo ya watu wakati wa utanuzi na ujenzi wa barabara bila kufuata sheria matokeo yake serikali huingia gharama kulipa fidia na mfano mwingine tumeona alivyokamata meli ya samaki bila kuwa makini leo tumeshindwa kesi na kuamliwa serikali iwalipe wamiliki wa meli sh.bilioni 2 .Kwa hali hiyo Magufuli hafahi kuwa raisi uraisi unahitaji maamuzi ya hekima na busara katika kuamua mambo lakini tukimpata kiongozi wa maamuzi ya kukurupuka kama Magufuli nchi inaweza ingia kwenye migogoro na wawekezaji na majirani zetu tukajikuta tunaingia kwenye vita na kurudi nyuma kimaendeleo.