domokaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2010
- 3,588
- 1,760
Watu wasiopenda kufuata sheria na utaratibu hao watakuwa hawana chao, visasi na kutopenda challenge si kweli, wasiopenda kusimamia haki ndio wanaona anawavurugia mambo yao kwa vile hamuonei mtu aibu.Angalau yeye mara mia kuliko wote waliobaki kutoka vyama vyoootea vya nchi hii, tusahai siasa, tuache uzandiki na majungu kama tunataka kutoka hapa tulipo, tumuombe Magufuli achukue nchiMzee wa visasi asiyependa challenge si wapinzani wake woye ndani nanje ya chama wataishia jela